B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
No REFORMS No ELECTION
Nadhani atakua amepikwa akapikika sasa. Alitokomea kwa kitambo kweli.Brother ni muda wako wa kupasha!!
Ukushashika fuata maelekezo tuliyokupa!Yale tuliyokwisha yaandika mei 22 alhamis!!
Usikengeuke kama huyu!ukikengeuka tutaanza Tena "mipango yetu"!!
Hahaa nimecheka walah, daah basi kazi ngumu. Hebu tudodosee na sisi hiyo mipango alopewa hata kwa codes tuwe tunamkumbushia maan husahauBrother ni muda wako wa kupasha!!
Ukushashika fuata maelekezo tuliyokupa!Yale tuliyokwisha yaandika mei 22 alhamis!!
Usikengeuke kama huyu!ukikengeuka tutaanza Tena "mipango yetu"!!
Ila kweli hajasikika kitambo sana, inaweza kuwa kweli.Hahaa nimecheka walah, daah basi kazi ngumu. Hebu tudodosee na sisi hiyo mipango alopewa hata kwa codes tuwe tunamkumbushia maan husahau
Mwaka huuMzee wa bao la mkono ndo anaingia akamalize kazi 😂
britanicca tafadhali njoo utufumbulie fumbo hili. Ni nani anapiga warm up ili aje apige penalty?Ngoja tuone Kuna ID moja naijua vizuri nimeona ipo online imepotea mda na ilikuwa kazini huenda kazi finished
😂😂😂😂Ukitaka kujua ile nafasi ni tamu, subiri litokee jambo kama hajaanza harakati za mikumi tena.
Sijaelewa, ngoja nisome comments za wachangiaji huenda nikapata nuru,Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up.
Sasa tusiangushane.
October tuna ✅️Mwaka huu
NO REFORMS NO ELECTION
"Siku tisini,mia themanini tayari,hii ni ni baada ya Ile ya kustaafishwa iliokwisha andikwa!Hadi pale hapatokua na mwendelezo ya haya"by Tumia akili,kwenye "kitabu kilichaonza kuandikwa Kisha kikaachwa kitamalizika Kwa hesabu hii!!Hahaa nimecheka walah, daah basi kazi ngumu. Hebu tudodosee na sisi hiyo mipango alopewa hata kwa codes tuwe tunamkumbushia maan husahau
Kwani mzee Mkakati si amesema anastaafu na kupumzika? au amebadili gia angani??VAR imekuwa ngumu Ila wapo wanafikiria wakiweka VAR watawezaje kuhamisha magoli.
Ila kuna uwezekano mkubwa jamaa wa kuongea taratibu akachukua nafasi ndo yupo anapasha
WakuuKwani mzee Mkakati si amesema anastaafu na kupumzika? au amebadili gia angani??