The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
Inabid uendelee tu na yanga yakoDaah hapa watu ambao hatufuatilii siasa hatujaelewa chochote yaani
Inabid uendelee tu na yanga yakoDaah hapa watu ambao hatufuatilii siasa hatujaelewa chochote yaani
Kipara Kipya!!!!!!!! Je?Ngoja tuone Kuna ID moja naijua vizuri nimeona ipo online imepotea mda na ilikuwa kazini huenda kazi finished
Uhakika kabisa hawana namnaVAR imekuwa ngumu Ila wapo wanafikiria wakiweka VAR watawezaje kuhamisha magoli.
Ila kuna uwezekano mkubwa jamaa wa kuongea taratibu akachukua nafasi ndo yupo anapasha
😁😁😁Na VAR imesha wekwa
😁😁😁Inabid uendelee tu na yanga yako
✊🏿✊🏿✊🏿Make Tanzania Happy again ✌️
Huyo ni Anthony MtakaKwa ccm ,imebaki na watu watatu tu, mmoja huyu namfahamu vizuri ,ni mkuu wa mkoa mahala ila sio P Mackonda , wa pili ni mzee wa makamu ila sio umri wa mzee Wasira, wa tatu huyu ni kidogo ni shida ,mzee pia ila sio umli wa mzee Wasira pia .
Ukichukua hawa wazee wawili nje ya umri ya mzee wasira na akawepo uyo wa tatu ambae hakuwahi kuwa na nyadhifa kuu ccm , angalau majukwaa ya siasa yanaweza Ongeleka . Kwa mtazamo tu wa Mungu wangu .
Ccm hutupa vipaji nje that's hubaki na watu hovyo