Nasikia kuna mtu anafanya warm up nafikiri utakuwa mpango wa kuingiza wapiga penati

Mtajijua na mafumbo yenu.
Mimi na ndugu yangu ChoiceVariable tunaendelea kuangalia likiuno la bonge la dada tiktok
 
VAR imekuwa ngumu Ila wapo wanafikiria wakiweka VAR watawezaje kuhamisha magoli.

Ila kuna uwezekano mkubwa jamaa wa kuongea taratibu akachukua nafasi ndo yupo anapasha
Uhakika kabisa hawana namna
 
Huyo ni Anthony Mtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…