Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Duuh
 
Nipo hapa kwa huyu Nabii Joe Davie.
Waumini wanapeleka hela madhabahuni.
Wameinuka kwenda mbele KATI YA MARA KUMI NA MARA ISHIRINI KUPELEKA HELA MADHABAHUNI.
HATA KWA MWAMPOSYA SIJAONA HII.
Nipo Arusha katika Ibada. Huyu Nabii Joe David.
Yeye hayupo. Huyu ni msaidizi wake.
IT IS ENOUGH.NAONDOKA.
NASIKIA HILI TANGAZO,"HEBU,WAUMINI,TUANZE RASMI SASA KUTOA SADAKA"
WAKATI WATU WAMESHATOA SADAKA MARA ISHIRINI.

Nipo ndani ya daladala sasa narudi Arusha mjini.
Nimeona jambo ambalo sijawahi kuliona maisha yangu yote ya kupanda daladala.
Huyu kijana amekataa kulipa nauli ya nyongeza ya serikali. Ameondoka akilindwa na rafiki zake. Wameondoka wanatabasamu,wamemwacha kondakta anaongea vitisho.
 
Sadaka mara ishirini mkuu
 
Kweli mkuu???
Yes Mkuu speaking from experience....nkipitiaga hali kama yako Kuna mawili...either I messed up with God Yan unakua unafeel empty kama kopo flan hivi Yan unajiona Kuna missing part imeondoka huaga naomba toba ya dhat kabisa nalia na kuomboleza ...yapili shetani anacheza na akili yako hapo anataka akudestroy huaga nasali naitia jina laYesu...ananihuisha
 
Oky mkuu
 
Pole sana ndugu,ikatae iabusa hiyo sauti/roho wa mauti.
Yani hupaswi kujiua hata iweje,pambana mpaka tone la mwisho la jasho lako. Kukata kwangu tamaa huwa ni kuchapa kazi yoyote ile kama mwehu bila kujali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…