Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #181
45 yrsUna umri gani braza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
45 yrsUna umri gani braza
Mikopo ya kupanua mitaji,,,inaumiza sanaPesa za mikopo bab,usicheze na marejesho utajamba cheche.
FactWakati mwingine hayo matatizo mtu akiyasema, mbele ya jamii ama Kwa wa wale anaowaamini huishia pengine hishia kulaumiwa na kuonekana mkosaji, kupewa maneno ya dhihaka na kutokusaidiwa kabisa, ama kusaidiwa Kwa vijembe!!
So mtu anaamua kujikalia kimya tu Kwa sababu ya mapokeo kwenye jamii!!
Ukitaka kujua Hilo, wewe leta hata mapito Yako humu kuomba msaada uone utakavyojibiwa!!
Sawa mkuu,,,,ngoja nirudi toka kisanganiNdugu tufanye ile meeting Sasa. Łazima Tumshinde Adui
Duuh ???Mimi nilishaga kufa kama mwaka mmoja uliopita bado kufukiwa tu
DuuuhWewe utakuwa Muislam tu kushukiwa na majini / mashetani. Hawajakupa ahadi ya kupewa mabikra 72 baada ya kujiua?
Sawa ndugudah pole sana mkuu,hilo ni janga kwa vijana wengi, tatizo hilo mara nyingi ni la kisaikojia maana linahusiana na matatizo ya afya ya akili.jaribu kuwaona watalam wa saikolojia kabla hali haijawa mbaya zaidi,kingine zidisha maombi huenda hizo ni sauti za shetani au uchawi.
Upo sahii mkuukama hayajakukuta huwezi kuelewa alichosema mtoa mada!!!
Madam nipo hai mmBado yupo hai?
Yeyote anajiua kwa issue ya mbususu huwa namwona bwege mtozeni.Usiweke suluhisho la kudumu (kujiua) kwenye matatizo ya muda mfupi..!!!
Kuwa muwazi kwa kusema siyo suluhu, bali epuka kukaakaa peke yako, piga stori na watu.
Kuna wakati unahitaji kufanya biashara kwa kuanzia chini sana ili uwe unakua kidogo kidogo. Haya mambo ya lkuanzia pakubwa yanaweza yakakupa fikra za hivi pindi unapofeli.
Kama ishu ni mbusus, tafuta wa class ya chini zaidi ili wasikupe mawazo. Pisi kali zingine zitakupa presha na mwisho mawazo ya hivi yakujie.
Yeah mkuu so, deal with it na ninaamini kwa sababu upo smart hilo ni tatizo zaidi maana lazma utafanya overthinking ambayo itakupelekea kulikuza jambo kuliko uhalisia na umuhimu wake. .Yeah kuna gap but it,s not physical gap,,,,,,,spritual gap mkuu
Kila mtu ana issue yake anayoiona inaweza kumtoa roho kirahisi..!! Na kila mtu ana ishu anayoiona kama mtu itampa mawazo ya kujiua basi huyo anayewaza hivyo ni bwege sana..!!! Wewe unaona mbususu ni ubwege kukuuwa lakini wengine wanaona kinyume chake. Same to ishu ya uchumi, wewe inaweza ikakuuwa kirahisi wakati mtu mwingine anaona kujiuwa kwa sababu za kiuchumi ni ubwege..!!Yeyote anajiua kwa issue ya mbususu huwa namwona bwege mtozeni.
Issue ya uchumi hata mimi inaweza kunitoa roho kirahisi sana.
Kuna wakati unaoambana kukusanya mtaji halafu unapotea. Unapambana tena na tena, lakini unapotea na hakuna cha maana unamiliki.
Akili inafika mwisho wa kufikiri na maisha hayaendi. Kujidhuru hakuepukiki.
Una madeni ya milioni 20 halafu biashara imekufa. Unafanyaje?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Naelewa mkuu Kuna muda mwenye pesa anatamani awe na hali ya kawaida hata kuwa masikini, maana hafurahii pesa alizonazo wanaofurahia na kufaidika ni wengine kabisa, unawasaidia watu ndugu jamaa na marafiki lakini hawana shukrani, ukiwaambia huna pesa watasema una Roho mbaya. Kumbe pesa Nazo zina malengo. Muda mwingine mkeo hutumia pesa hovyo akijua mume Anazo, watoto unasomesha shule nzuri na ada kubwa lakini matokeo zero. Hapo Sasa furaha utaipata wapi. Mkuu JIPENDE KWANZA WEWE. Wengine watafata baadae.Pesa ninazo na uchumi upo oky,,,but deep inside i feel emotion less towards life...
The same as Wanaojiua wanavyokua wanahisi!!!Life seem empty and nothing
NIJIPENDE KWANZA MKUUNaelewa mkuu Kuna muda mwenye pesa anatamani awe na hali ya kawaida hata kuwa masikini, maana hafurahii pesa alizonazo wanaofurahia na kufaidika ni wengine kabisa, unawasaidia watu ndugu jamaa na marafiki lakini hawana shukrani, ukiwaambia huna pesa watasema una Roho mbaya. Kumbe pesa Nazo zina malengo. Muda mwingine mkeo hutumia pesa hovyo akijua mume Anazo, watoto unasomesha shule nzuri na ada kubwa lakini matokeo zero. Hapo Sasa furaha utaipata wapi. Mkuu JIPENDE KWANZA WEWE. Wengine watafata baadae.
Mkuu upo sahii na una uelewa mkubwa sana wa saikolojia ya maisha....It reaches a point in life when you feel nothing in the body, mind and soul...na unapokuja huku mitandaoni, instead of kupunguza stress ndo kwanza unaongezewa, kuchekwa na kubezwa...na kudhalilishwa as well...Tena unaonekana sio mwanaume, mzembe, usiye na mipango, mlalamishi, usiye na future...yote hiyo ni Kwa sababu wanaume tunajua kuficha SIRI na kuwa imara...unaelezea mtu shida yako , anakuambia why usiuze hiyo smartphone yako,? So sad ...
Pole sana mkuu jitahidi kuomba sana na kwenda kwenya ibada piaSauti inakuja kichwani jiue....!!!
Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.
Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...
NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.
Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.
Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.
Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.
Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Mkuu unaongea vitu sahii mpaka natokwa na machozi mkuu!!Naelewa mkuu Kuna muda mwenye pesa anatamani awe na hali ya kawaida hata kuwa masikini, maana hafurahii pesa alizonazo wanaofurahia na kufaidika ni wengine kabisa, unawasaidia watu ndugu jamaa na marafiki lakini hawana shukrani, ukiwaambia huna pesa watasema una Roho mbaya. Kumbe pesa Nazo zina malengo. Muda mwingine mkeo hutumia pesa hovyo akijua mume Anazo, watoto unasomesha shule nzuri na ada kubwa lakini matokeo zero. Hapo Sasa furaha utaipata wapi. Mkuu JIPENDE KWANZA WEWE. Wengine watafata baadae.