Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #141
Sawa mkuuOmba dhidi ya sauti hizo Kwa jina La Yesu mambo yatakuwa shwari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuOmba dhidi ya sauti hizo Kwa jina La Yesu mambo yatakuwa shwari.
Sawa mkuuKataa hilo pepo ndugu, ukiliendekeza utajitoa kweli uhai wako.
Jichanganye na watu, tafuta sehem zilizo changamka kwa muda wako wa mapumziko
Epuka sana kukaa pekeako, Ongea na mtu wako wakaribu kuhusu yanayo kusibu, kataa hilo pepo.
Yeah vijana wengi inawakutaHiyo Roho ipo na inatakiwa ikemewe na itolewe. Binafsi huwa nasingwa sana na mawazo hayo. Ila huwa naikemea kuwa Shindqa na toka katika jina la Yesu.
DuuhPepo hilo
Sawa mtumishiMwambie ukweli umsaidie mwenzio kwamba Roho mtakatifu atafanyika faraja na nguvu kwake(atamtia nguvu ktk mapito yake lakini sio kwamba 100% hatahisi upweke/maumivu, anayeyapitia haya ni binadamu pia hawezi kukwepa kuhisi uchungu/maumivu/huzuni TOFAUTI akiwa na Roho mtakatifu anamsaidia kushinda matokeo mabaya ya mapito yake(kumbuka Yesu ilifika point akaomba kwa Babake kikombe kimuepuka [emoji17]na hapo ilikuwa enzi hizo sembuse nyakati hizi za hatari na vurugu nyingi
DuuuhKataaa CCM na vyama vyote vya upinzani vinatuchelewa kufika kaanani
Daaah mkuulil bow wow kuna muda alihojiwa akasema ilifika kipindi alitamani kujiua ili apate kuona inavyokuwa maana alihisi starehe zote za dunia hii amemaliza
Kwahio muda mwingine pepo kama hilo linaweza kukujia tu bila ya wewe kufahamu ni kwann
Kama una silaha ya moto kaa nayo mbali au irudishe maana ipo siku isiyo na jina utajaribu kichwani
DuiihMimi namshuru Mungu kwa wema wake kupitia Kristo Yesu. Ndani ya miaka miwili nimepitia shinikizo kubwa la kiuchumi. Unaomba mbingu zimenyamaza kimya kimya kabisa. Milango yote ni kama imefungwa. Mlango niliouona upo wazi ni wa msamaha kutoka Kwa Mungu peke yake.
Nilifika mahali nikamwambia Yesu ungenipa nafasi ya kuchagua kuja dunia au kutokuja nisingechagua kuja. Namshukuru japo bado hajaifungua milango ila Nina amani na pia naamini ataifungua. Japo nimechoka ila nilimwahidi sitajiua na Kwa msaada wake nipo njema mpaka sasa hivi.
Usikate tamaa, omba toba na msaada. Damu yake itatusaidia tu.
Hili nalo neno mkuu...but life seem empty despite i hv almost everything
Mkuu ninakushuri tembelea hospitali, vituo vya watoto yatima, pita pita mitaa mama ntilie wanapomwagiliwa biashara zao na migambo wa jiji wasiokuwa na chembe ya huruma na jela, kwa kiasi fulani utaweza kuona namna maisha yalivyo na kwamba katika hii dunia siyo peke yako mwenye matatizo au changamoto. Pia, jishughulishe na kazi au michezo na mwili uchoke haswa. Utalala vizuri na utaachana na mawazo ya kijinga. Pia, badilisha vijiwe vyako, upgrade yourself. Pia angalia mahusiano yako ya kimapenzi hili nalo ni janga kubwa, kuna mtu alishauri hapo juu tafuta wa size yako au wa chini ya size yako...upwiru ni ule ule na kyuma zinafanana tu no matter the status.Pesa ninazo na uchumi upo oky,,,but deep inside i feel emotion less towards life...
The same as Wanaojiua wanavyokua wanahisi!!!Life seem empty and nothing
Pesa ninazo na uchumi upo oky,,,but deep inside i feel emotion less towards life...
The same as Wanaojiua wanavyokua wanahisi!!!Life seem empty and nothing
If you have Jesus...you never feel empty.. Jesus covers all....mrudie Mungu Kwa toba
If you have Jesus...you never feel empty.. Jesus covers all....mrudie Mungu Kwa toba
Ukijazwa Roho mtakatifu hutahisi huo upweke, utaona bubujiko la furaha kubwa ndani yako na utakua na amani tele, ukitaka kujazwa Roho mtakatifu wa kweli tafuta kanisa takatifu, moja lipo kisukuru, tegeta na chamazi, kwa maelekezo zaidi ni PM nikuunganishe na mchungaji
Ooh polesanafanya yote lakini usithubutu kujiua mkuu... ebu imagine jinsi mapenzi yalivyo matamu... jinsi mbususu zilivyo tamu... leo ujiue utuachie utamu sisi ....!
no matter what problem you face please do a favor for yourself life is to short lakini sio kwa kujiua...japo hiyo hali inatesa na kusumbua sana.
in my child hood nilishawahi kujitundika kitanzi ili nife😭😭😭
nilishawahi kunywa sumu😭😭😭
kwa ufupi nilipitia changamoto nyingi ambazo kama sio Mungu leo hii ninge kuwa nimesha kufa...😭😭😭
Nelson Nelson Nelson, nakuitia Mara tatu, kweli ujumbe unawakilisha vijana wengi ila sio wewe, wewe mbona mpambanaji, unajitambua na unanjozi za kukimbiza, embu nisaidie kuuliza hiyo sauti maswali haya:Sauti inakuja kichwani jiue....!!!
Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.
Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...
NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.
Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.
Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.
Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.
Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Ooh polesana