The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wewe jiue tu usitake kutusumbua hapa,kama vipi nikupe kabisa na namba ya muuza majeneza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu duuuh unanifanya nitokwe na machozi mkuuNelson Nelson Nelson, nakuitia Mara tatu, kweli ujumbe unawakilisha vijana wengi ila sio wewe, wewe mbona mpambanaji, unajitambua na unanjozi za kukimbiza, embu nisaidie kuuliza hiyo sauti maswali haya:
1. Kufa kunanipa suluhu gani katika kufikia njozi za maisha?
2. Je huko nako enda nikifa ni wapi?
3. Naanza Je kwenda mahali sipajui na sijajiandaa?
Tafadhali akikujibu nirudishie majibu alafu mjadala uendelee!! 🙏
True mkuutunapitia mambo magumu ambayo ni kweli yanatukomaza lakini sio mchezo mchezo kabisa.... nashukuru
Kweli mkuuKuokoka ni kujiongezea majukumu mazito Sana!!kupambana na kiumbe asieonekana wakati yeye anakuona!!!
Aiseh mi nimekuwepo kwenye hiyo game muda mrefu nikaona I have to neutralize aiseh!
Life can't be serious like that my friend!!
Eze
Yeah kuna gap but it,s not physical gap,,,,,,,spritual gap mkuuYou don't have everything brother maana kama ungekuwa navyo bhasi suicide feelings usingezipata unless ni spiritual issues.
What I know kuna kitu ulimiss, unamiss au unahofia kukimiss ndio maana kuna emptiness unaipata kwa sababu hakuna kitu cha kufukia hilo gap isipokuwa hicho kitu ambacho huna.
Mkuu suicide thoughts huwa ni impact na haitokei tokei tu mkuu kwa hiyo deal na hicho kinachokupa restlessness
Sawa mkuufanya yote lakini usithubutu kujiua mkuu... ebu imagine jinsi mapenzi yalivyo matamu... jinsi mbususu zilivyo tamu... leo ujiue utuachie utamu sisi ....!
no matter what problem you face please do a favor for yourself life is to short lakini sio kwa kujiua...japo hiyo hali inatesa na kusumbua sana.
in my child hood nilishawahi kujitundika kitanzi ili nife😭😭😭
nilishawahi kunywa sumu😭😭😭
kwa ufupi nilipitia changamoto nyingi ambazo kama sio Mungu leo hii ninge kuwa nimesha kufa...😭😭😭
Sawa mkuuMkuu ninakushuri tembelea hospitali, vituo vya watoto yatima, pita pita mitaa mama ntilie wanapomwagiliwa biashara zao na migambo wa jiji wasiokuwa na chembe ya huruma na jela, kwa kiasi fulani utaweza kuona namna maisha yalivyo na kwamba katika hii dunia siyo peke yako mwenye matatizo au changamoto. Pia, jishughulishe na kazi au michezo na mwili uchoke haswa. Utalala vizuri na utaachana na mawazo ya kijinga. Pia, badilisha vijiwe vyako, upgrade yourself. Pia angalia mahusiano yako ya kimapenzi hili nalo ni janga kubwa, kuna mtu alishauri hapo juu tafuta wa size yako au wa chini ya size yako...upwiru ni ule ule na kyuma zinafanana tu no matter the status.
DuuuhUmeokoka?
Upweke niliokuwa nao ambao haukujazwa na kingine chochote ulipata dawa yake baada ya kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu.
Umaana wa maisha ulianzia hapo, hata sasa siishi kwa ajili yangu ila ili yeye atimize yake kupitia kwangu, na huo ndio utimilifu (uwepo ndani ya Kristo, aliye AGENDA iliyo kuu)
Hizi harakati za kutafuta kuishi, hiyo sio haswa sababu ya sisi kuishi bali ni namna ya kutuwezesha kuwa hai, ili tuishi kusudi la kutimiza KILE ambacho UMEPANGIWA. Una nafasi gani unayojaza kwenye ulimwengu huu (ufalme) wa aliyetuumba?
Samahani lakini, naomba kukuuliza tu, hivi wewe ni Muislam?Sauti inakuja kichwani jiue....!!!
Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.
Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...
NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.
Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.
Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.
Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.
Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Hapana mm ni mbantu asilia kilembwe wa mtemi KINTU,,,Samahani lakini, naomba kukuuliza tu, hivi wewe ni Muislam?
Sawa, nilikuuliza vile makusudi kwani waumini wengi wa hiyo dini ndiyo wanapatwa na majini na kuwashawishi wajiunge na Hamas ili wakifa waende motoni kupokelewa na kuwadi wao FaizaFoxy kisha kuwakabidhi mabikra 72 walioshindikana hapa duniani.Hapana mm ni mbantu asilia kilembwe wa mtemi KINTU,,,,siwezi kua mfuasi wa dini ya kiarabu!!
Wewe utakuwa Muislam tu kushukiwa na majini / mashetani. Hawajakupa ahadi ya kupewa mabikra 72 baada ya kujiua?Sauti inakuja kichwani jiue....!!!
Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.
Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...
NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.
Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.
Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.
Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.
Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Mkuu nina watoto watatu na mke na kila kitu financial kipo poa...
But nina tatizo la ulevi uliopindukia mkuu...
Wa pombe kali kali
Wakati mwingine hayo matatizo mtu akiyasema, mbele ya jamii ama Kwa wa wale anaowaamini huishia pengine hishia kulaumiwa na kuonekana mkosaji, kupewa maneno ya dhihaka na kutokusaidiwa kabisa, ama kusaidiwa Kwa vijembe!!Usiweke suluhisho la kudumu (kujiua) kwenye matatizo ya muda mfupi..!!!
Kuwa muwazi kwa kusema siyo suluhu, bali epuka kukaakaa peke yako, piga stori na watu.
Kuna wakati unahitaji kufanya biashara kwa kuanzia chini sana ili uwe unakua kidogo kidogo. Haya mambo ya lkuanzia pakubwa yanaweza yakakupa fikra za hivi pindi unapofeli.
Kama ishu ni mbusus, tafuta wa class ya chini zaidi ili wasikupe mawazo. Pisi kali zingine zitakupa presha na mwisho mawazo ya hivi yakujie.
Kuokoka ni kujiongezea majukumu mazito Sana!!kupambana na kiumbe asieonekana wakati yeye anakuona!!!
Aiseh mi nimekuwepo kwenye hiyo game muda mrefu nikaona I have to neutralize aiseh!
Life can't be serious like that my friend!!
Eze
kama hayajakukuta huwezi kuelewa alichosema mtoa mada!!!Pole sana, ni ngumu sana mtu kukuelewa kama hajapitia hiyo hali. Ila wakuu kuna kipindi life lina kupiga mpaka una tamani upotee tu, nyie hacheni kabisa kuna muda mtu huelewi kabisa.
Mkuu usikate tamaa.