heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Ipotezee iyo kuauli af mapenz yanakutesaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe vp ustaadhatiKuna mawili tu ya kufanya hapo:
1) Nenda kaonane na daktari wa matatizo ya akili. Ukishindwa hilo,
2) Nenda kamuone mkuu wako wa Kiimani, ama kanisani ama msikitini.
OkyIambie hiyo sauti ya mauti kwamba you have a mission to full fill, na ukiambie kwamba huna mpango WA kujiua.
TrueKuna ile hali MTU unajikuta huna cha kutoa Kwa WATU unaowapenda Sana huu muda unaumiza Sana.
Sawa mkuuMkuu mbona umeshapiga hatua kwa kulifahamu tatizo, umeweza kulifafanua, na umeeleza chanzo chake. Naona uko nusu ya kulikabili, ukiamua lakini.
Binafsi kupitia maandishi yako nilishafahamu iko shida kwako, na wapo wengi humu Yawezekana wengine bado hawajajifahamu au hawajakubali. Ni vizuri kuwa umeadmitt.
Naunga mkono hoja ya wadau waliosema kama uwezo upo endelea kuonana na therapist, ukifika kwake funguka, yeye hatakujudge, na pia fanyia kazi assignment na commitment anazokutaka ufanye.
Mkuu hili ni tatizo unaweza kulikabili, Pole.
Kweli mkuu???Otherwise shetani anacheza na nafsi yako
Sawa mkuuMkuu pombe haitakusaidia... maombi tu ndo yatakusaidia
AminaDepression is real
Kwa kutambua hilo, Mungu ametupa namna ya kuzishinda hali zote ngumu.
Imagine wewe na Mimi tungekuwa Ayubu, tunapitishwa kwenye yale majaribu, kweli tungeweza kuyastahimili ama ndiyo tungejiua.
Hebu soma, Zaburi 142:3
Ninapokaribia kukata tamaa kabisa, yeye (Mungu) yupo, anajua mwenendo wangu.
Tujifunze kupokea nyakati zote kwenye maisha yetu.
Wakati wewe unakula Pizza pale Pizza Hut, kuna mwenzio hajui atakula nini Mchana huu wala Usiku.
Wakati wewe unafurahia kutimiza Miaka 28,30,35,40 n.k ujue kuna mwenzio anatimiza Umri huo akiwa Kaburini.
Wakati wewe unalalamika kupata Supplementary 2 ama 1 kuna mwenzio aliishia darasa la 7 kwa kushindwa kufauru kwenda Sekondari.
Wakati wewe unafurahia kuingia kwenye nyumba yako ulianza kuijenga Miaka 2 ama 3 iliyopita ujue kuna mwenzio amefukuzwa na Baba Mwenye nyumba kwa kushindwa kulipa Kodi ya shilingi 240,000 ambayo ni kodi ya miezi 6.
Mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏🙏🙏
Sawa mkuuDu pole kijana, jitahidi kutokuwa over ambitious, nenda taratibu kimaisha. Mkulima anayepanda mbegu leo akitaka kuvuna kesho ni dhahiri atakata tamaa.
OkyIf you have Jesus...you never feel empty.. Jesus covers all....mrudie Mungu Kwa toba
Vijana wanawaza sanaNashukuru Mungu sijawahi waza hili kitu
DuuuhPole mkuu.
Haya yote husababishwa na tajiri Kidukulilo kutokuonekana hapa jukwaani.
OkyFanya maombi Mkuu.
Yes....kuna kipindi unapitia magumu na unakuwa katika hamaniko lakini unabidi utafute solution mbadala na mengine unayaacha yapite. SI Kila kitu lazima ukimuduVijana wanawaza sana
Sawa mkuu nimekuelewa na nitalifanyia kaziYes....kuna kipindi unapitia magumu na unakuwa katika hamaniko lakini unabidi utafute solution mbadala na mengine unayaacha yapite. SI Kila kitu lazima ukimudu
Barikiwa sana Mkuu 🙏🙏Amina
Da mungu akulinde na pepo wachafuSauti inakuja kichwani jiue....!!!
Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.
Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...
NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.
Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.
Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.
Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.
Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Pombe ni haramu, haifai kabisa.Pombe vp ustaadhati