Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Wanaume wengi tunatembea barabarani huku moyo ukiwa umeshakufa kabisa bro, ila ukimuuliza "unaendeleaje bro?" anakujibu "nipo poa" maana anajua hata akikueleza shida zake bado utamwambia we ni mwanaume acha kulialia pambana, we ni mwanaume jikaze, ndo uanaume huo

Mtu anaamua abaki na mambo yake moyoni tu kwasababu No one cares
Bro at least wewe unaelewa vijana wanaojiua wanakua na yapi mioyoni mwao
 
POle mkuu. Pole sana. Sio rahis mwingine kuelewa kama hujapitia hali hii ila Yote kwa yote inawezekana kuishinda.

Jaribu kusikiliza sikiliza podcast za watu tofaut tofaut youtune zinaweza kukisaidia. Kibongo bongo naonaga nakushaur umsikilize Joel Nnanauka. Content zake sio mbaya.

Kama mtu wa ibada jaribu pia kujisoeza karibu na Muumba.

Life challenges kwa mwaka hui zilinifanya hata kanisani nikate mguu kabisaa japo kwa kusikiliza experiences za watu tofaut tofaut nili mudu kujiweka sawa na kuemdelea na mapambano.
 
Usiweke suluhisho la kudumu (kujiua) kwenye matatizo ya muda mfupi..!!!

Kuwa muwazi kwa kusema siyo suluhu, bali epuka kukaakaa peke yako, piga stori na watu.

Kuna wakati unahitaji kufanya biashara kwa kuanzia chini sana ili uwe unakua kidogo kidogo. Haya mambo ya lkuanzia pakubwa yanaweza yakakupa fikra za hivi pindi unapofeli.

Kama ishu ni mbusus, tafuta wa class ya chini zaidi ili wasikupe mawazo. Pisi kali zingine zitakupa presha na mwisho mawazo ya hivi yakujie.
Mkuu nimekuelewa sana
 
POle mkuu. Pole sana. Sio rahis mwingine kuelewa kama hujapitia hali hii ila Yote kwa yote inawezekana kuishinda.

Jaribu kusikiliza sikiliza podcast za watu tofaut tofaut youtune zinaweza kukisaidia. Kibongo bongo naonaga nakushaur umsikilize Joel Nnanauka. Content zake sio mbaya.

Kama mtu wa ibada jaribu pia kujisoeza karibu na Muumba.

Life challenges kwa mwaka hui zilinifanya hata kanisani nikate mguu kabisaa japo kwa kusikiliza experiences za watu tofaut tofaut nili mudu kujiweka sawa na kuemdelea na mapambano.
Mkuu naona unaelewa hawa vijana wanaojiua waga wanawaza nn mioyoni mwao
 
Daah wanatunanga sana mateja wa zamani...
Hasa kama huo uteja uliuanzia ughaibuni na sio tz...
Vijana wanaona aibu kujitokeza
Bado una options, kuna hizi za online hakuna ulazima wa kufahamiana na therapist wako, ipo Wazi | Online therapy | Mental health | Tele-counseling | Kenya ya wakenya.

Pambana mzee, mimi nakushauri usizingatie chochote amabcho hakijawa proven to work(makanisa, vitabu nk) tafuta suluhisho la moja kwa moja

Na vile umesema ulikua junkie, duh, take this seriously
 
Back
Top Bottom