Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Mkuu nina watoto watatu na mke na kila kitu financial kipo poa...
But nina tatizo la ulevi uliopindukia mkuu...
Wa pombe kali kali
Basi kama una familia linapokuja wazo la kujiua jaribu kufikiria familia hasa watoto wako watatu.

Nadhani ulevi ni tatizo la wengi hapo sina lakukushauri mkuu, hata mimi huwa naonja ila si kulewa.
 
Ni kweli mkuu
Maombi hayajibiwi hata tukitia sadaka!!

Tunajaribu kuwakusanya tuwapendao Ili tubarikiwe wake zetu wanatibua furaha yetu ili kutulazimisha tukimbie mbio ndefuu za marathon Ili kukidhi mahitaji ya wengine!!

Hai hai wake zetu wakipata shida kama Sasa wanataka tushiriki kwa asilimia mia moja!!

Chanzo Cha yote ni kutaka kuwaridhisha wanawake ambao hawaridhiki ndani ya familia zetu!!

Siku hizi mahitaji matatu hayatoshi kumtuliza mkeo wamebuni mahitaji mengine na kutu transform kuwa mitambo ya robots ya money maker,chakula,malazi na mavazi hayatoshi Tena kuitwa rijali!ole wako kama na ajira hamna aiseh!!!

Angalau wengine tumezifanya akili zetu kuwa dormant Ili yasonge huku tukiangaza macho kama Kuna bahati nyingine!!!

MJI WA DAR UTAANGAMIA KAMA UNA MALI UZA UHAMIE HATA KANDA YA KATI!

MUNGU AKUBARIKI UMALIZE SAFARI YAKO SALAMA!!!
Mkuu unamwamini rabon, ngoja sisi Akina Tomaso tusubiri tuone Kama kweli Dar itashugulikiwa
 
Hizo clinic tatizo wanatunanga sana wakijua huko nyuma tulikuaga wabwia heroin na molly

Utanangwa, hiyo inaitwa "fear of unknown". Tambua tatizo nenda ukamwone mwanasaikolojia, hakuna wa kukunanga atakusaidia kwenye mapito yako. Ukifika ujitahidi kutumia vyema muda wako kuelezea ulikopitia mpaka ulipo na mengine mengi ambayo haujaweka hapa.. Kuna sehemu kuna sintofahahamu inayoutibua mwenendo wa utendaji kazi wa ubongo wako. Utasaidiwa jinsi ya kuenenda vyema ukiwa ume-balance.
 
Sauti inakuja kichwani jiue....!!!

Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.

Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...

NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.

Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.

Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.

Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.

Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Umesema kweli! Changamoto za kiuchumi ulizonazo nyuma yake yako mashetani yaliyotumwa kukutesa! Wachawi! Wenye wivu, mizimu ya kwenu kwasababu hujaenda kuisujudia. N.k. Okoka! Mtafute Yesu ili uyashinde! Au nenda kwa waganga wakupatie mashetani makubwa kuliko hayo yayanyamzishe! maana ndivyo wafanyavyo hao waganga! Vinginevyo Utajiua kweli!
 
Sauti inakuja kichwani jiue....!!!

Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.

Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...

NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.

Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.

Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.

Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.

Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Ushakufaasijunyingiiii nakuonaaa umebakii kashatu .mkuuu teteanafsiyakokwenyemaombii elseeushaendaa
 
Utanangwa, hiyo inaitwa "fear of unknown". Tambua tatizo nenda ukamwone mwanasaikolojia, hakuna wa kukunanga atakusaidia kwenye mapito yako. Ukifika ujitahidi kutumia vyema muda wako kuelezea ulikopita mpaka ulipo. Kuna sehemu kuna sintofahahamu. Utasaidiwa jinsi ya kuenenda vyema ukiwa ume-balance.
Tatizo mda wote nalewa mkuu..
Sasa naona aibu kwenda kwa dkt wangu wa saikolojia afu akajua mm napiga pombe wakati alinikataza.
 
Rabbon pitia hapa....

Nakuelewa mkuu, hayo mambo yanakuwa na 'roho' ovu na inahitaji jitihada hasa kiroho ili kuishinda hii hali.
Ahsante ndugu Proved

Mwandishi wa thread ndiye aliyeandika thread ya " Utafiti juu ya Mungu wa walokole".

Naamini ameandika thread hii Kwa tukio la Msanii Nisher aliyejiua wakati kwao pesa halikuwa tatizo.

Jambo muhimu hapo ni kuhakikisha muda wote connection na Roho mtakatifu inakuwepo muda wote Ili kufukuza sauti za Pepo wa MAUTI na kubakiza sauti ya Roho wa Yesu aitwaye Roho MTAKATIFU.
 
Mkuu umefumbua fumbo,,,,big up
 
Back
Top Bottom