Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Bro at least wewe unaelewa vijana wanaojiua wanakua na yapi mioyoni mwao
 
POle mkuu. Pole sana. Sio rahis mwingine kuelewa kama hujapitia hali hii ila Yote kwa yote inawezekana kuishinda.

Jaribu kusikiliza sikiliza podcast za watu tofaut tofaut youtune zinaweza kukisaidia. Kibongo bongo naonaga nakushaur umsikilize Joel Nnanauka. Content zake sio mbaya.

Kama mtu wa ibada jaribu pia kujisoeza karibu na Muumba.

Life challenges kwa mwaka hui zilinifanya hata kanisani nikate mguu kabisaa japo kwa kusikiliza experiences za watu tofaut tofaut nili mudu kujiweka sawa na kuemdelea na mapambano.
 
Mkuu nimekuelewa sana
 
Mkuu naona unaelewa hawa vijana wanaojiua waga wanawaza nn mioyoni mwao
 
Daah wanatunanga sana mateja wa zamani...
Hasa kama huo uteja uliuanzia ughaibuni na sio tz...
Vijana wanaona aibu kujitokeza
Bado una options, kuna hizi za online hakuna ulazima wa kufahamiana na therapist wako, ipo Wazi | Online therapy | Mental health | Tele-counseling | Kenya ya wakenya.

Pambana mzee, mimi nakushauri usizingatie chochote amabcho hakijawa proven to work(makanisa, vitabu nk) tafuta suluhisho la moja kwa moja

Na vile umesema ulikua junkie, duh, take this seriously
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…