Nasikia Washindi wa Mwaka wa Majukwaa JamiiForums 2022 watapata hizi Zawadi zifuatazo

Nasikia Washindi wa Mwaka wa Majukwaa JamiiForums 2022 watapata hizi Zawadi zifuatazo

1. Gari Mercedes Benz new Model

2. Simu Kali kama anayoitumia Rais wa Marekani Biden

3. Kiwanja atakakochagua Yeye

4. Kwenda Kupumzika na Wanyama Serengeti National Park

5. Ofa ya kwenda kufanya Shopping Dubai ( UAE )

6. Watatunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Watu Werevu cha Havard cha nchini Marekani kwahiyo sasa nitakuwa naitwa Dk. GENTAMYCINE

7. Kitita cha Pesa na Laptop

Yaani Watani zangu Wahaya, Wanyiramba, Wanyaturu, Waha, Warangi, Wakara, Wakerewe na Wanyamwezi mtanitambua.

Ukiuchukia huu Uzi wangu tafadhali ukague uko Jukwaa gani / lipi na ukishajua jipige Bonge la Keleb / Kofi Shavuni mwako au Usoni Kwako sawa?

Cc: Bila bila, adriz, Bujibuji Simba Nyamaume, Daudi Mchambuzi, Glenn etc.
Genta tayari umejipatia hilo Benz kwa kura tunazokupigia kwa wingi
 
Unapenda sana misifa wee jamaa
Baada ya ID yako pendwa Kupigwa Nyundo ( japo najua Utabisha ) umeamua uifufue hii ili uendelee Kuonyesha Chuki zako za Kipumbavu na Wivu wako wa Kishetani kutokana na Umaarufu wangu na Kupendwa Kwangu.

Hili ni Jukwaa la Utani na nimeianzisha hii Mada Kiutani ili Jamvini ( JamiiForums ) Kuchanganya hi ya Mimi kupenda Sifa na huu Uzi vina connection gani?

Kuna Watu mmeshalaaniwa na Mwenyezi Mungu ndiyo maana mna Mioyo ya Kishetani iliyojaa Chuki, Hasira na Wivu kwa Watu ambao tayari Walishabarikiwa na Mwenyezi Mungu na kamwe huwezi Kumshusha.

Namalizia na Swali Kwako tokea uanze Kunichukia, Kunichafua na Kunidhihaki GENTAMYCINE hapa JamiiForums umeona nadidimia au ndiyo Kwanza tu nazidi kupaa Juu Kumvuto, Kiushawishi, Kiuwasilishaji na Kiumaarufu?

Ushindi wangu nilioupata katika Shindano la Mwanachama Bora wa Mwaka 2022 Jukwaa la Michezo ( Sports ) ni Jibu Takatifu la Mwenyezi Mungu kwenu nyie Mashetani kuwa ANANIPENDA, SINA BAYA kama mnavyohubiri hapa Kutwa na NITAENDELEA tu kuwa Juu hapa JamiiForums mpaka Pumzi yangu ya mwisho.

Fikisha huu Ujumbe na kwa Wenzako.
 
Tuwekee link tuone ulivyoshinda kwa kishindo, Genta
 
Tuwekee link tuone ulivyoshinda kwa kishindo, Genta
 
Tuwekee link tuone ulivyoshinda kwa kishindo, Genta
Acha Unafiki umeshindwa kwenda Jukwaa la Michezo ( Sports ) ukahakiki mpaka utake nikupe Link? Narudia tena acha Unafiki na Sanifu sawa?
 
Acha Unafiki umeshindwa kwenda Jukwaa la Michezo ( Sports ) ukahakiki mpaka utake nikupe Link? Narudia tena acha Unafiki na Sanifu sawa?
Kwenye asilimia 49 ya kura zako imo kura yangu, nilitumiwa link kwenye uzi na ukafutwa ndo maana nilitaka kujua matokeo, mi sio mtu wa hayo masport ila nilikupigia kura sababu tu jina lako lilikuwemo humo na huwa naziona nyuzi zako za sports,

Una tabia za mwanamalundi, kukurupuka tu, shenzi zako
 
Wamewahi kulifunga shindano wangeacha hata kwa siku 3,
 
Wamewahi kulifunga shindano wangeacha hata kwa siku 3,
Lilikuwa la Siku Tano ( 5 ) na nikuhakikishie hata lingekuwa la Wiki Mbili au Mwezi kwa mwaka huu wa 2022 bado tu GENTAMYCINE Mimi unayenichukia unayenitukana na Kunikashifu ningeibuka Mshindi.

Najua nimebarikiwa nini na Mwenyezi Mungu ambacho Maadui zangu wote hapa JamiiForums hamna na kamwe hamtokuwa nacho.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Yani we paka juzi kuna mtu alifungua uzi wa kukuponda nikakutetea mpk nikaomba link nikupigie kura, na nikakupa kura yangu

Kushinda ungeshinda sina tatizo na wewe ila sometimes unakuwaga na mavi kwenye ubongo, pumbavu
 
Back
Top Bottom