DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwaiyo Popoma ameshinda sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Genta tayari umejipatia hilo Benz kwa kura tunazokupigia kwa wingi1. Gari Mercedes Benz new Model
2. Simu Kali kama anayoitumia Rais wa Marekani Biden
3. Kiwanja atakakochagua Yeye
4. Kwenda Kupumzika na Wanyama Serengeti National Park
5. Ofa ya kwenda kufanya Shopping Dubai ( UAE )
6. Watatunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Watu Werevu cha Havard cha nchini Marekani kwahiyo sasa nitakuwa naitwa Dk. GENTAMYCINE
7. Kitita cha Pesa na Laptop
Yaani Watani zangu Wahaya, Wanyiramba, Wanyaturu, Waha, Warangi, Wakara, Wakerewe na Wanyamwezi mtanitambua.
Ukiuchukia huu Uzi wangu tafadhali ukague uko Jukwaa gani / lipi na ukishajua jipige Bonge la Keleb / Kofi Shavuni mwako au Usoni Kwako sawa?
Cc: Bila bila, adriz, Bujibuji Simba Nyamaume, Daudi Mchambuzi, Glenn etc.
🤣🤣 bado upo! kweli nmepotea JFThobotoooo
Amen !🙏🙏🙏Ahsante Rafiki. Iwe heri kwako pia, iambatane na baraka, afya njema, mafanikio, upendo na Kila lililojema.
hapa kijiweni, panaitwa mtakuja 😂😂🤣🤣 bado upo! kweli nmepotea JF
Baada ya ID yako pendwa Kupigwa Nyundo ( japo najua Utabisha ) umeamua uifufue hii ili uendelee Kuonyesha Chuki zako za Kipumbavu na Wivu wako wa Kishetani kutokana na Umaarufu wangu na Kupendwa Kwangu.Unapenda sana misifa wee jamaa
Umechelewa muda umeshapita hata hivyo Asante kama ulikuwa na Nia ya Kunichagua GENTAMYCINE katika Shindano hilo.Mbona sijaona Jukwa la Kura?
Duh!Ukishinda tuzo yeyote niite Babra.
Mbengo zetafongoka..!!Thobotoooo
Tuwekee link tuone ulivyoshinda kwa kishindo, Genta
Acha Unafiki umeshindwa kwenda Jukwaa la Michezo ( Sports ) ukahakiki mpaka utake nikupe Link? Narudia tena acha Unafiki na Sanifu sawa?Tuwekee link tuone ulivyoshinda kwa kishindo, Genta
Kwenye asilimia 49 ya kura zako imo kura yangu, nilitumiwa link kwenye uzi na ukafutwa ndo maana nilitaka kujua matokeo, mi sio mtu wa hayo masport ila nilikupigia kura sababu tu jina lako lilikuwemo humo na huwa naziona nyuzi zako za sports,Acha Unafiki umeshindwa kwenda Jukwaa la Michezo ( Sports ) ukahakiki mpaka utake nikupe Link? Narudia tena acha Unafiki na Sanifu sawa?
Wamewahi kulifunga shindano wangeacha hata kwa siku 3,Piga kura kumchagua mwanachama bora wa JF Sports - 2022
Katika kutambua umahiri wa baadhi ya wanachama, Jamii Forums inaendelea na mchakato wa kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022. Tafadhali piga kura yako ili kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022 kwenye JF Sports Kura zitapigwa kwa muda wa siku tano. Mchakato wa kupata majina haya ulianza hapa...www.jamiiforums.com
Lilikuwa la Siku Tano ( 5 ) na nikuhakikishie hata lingekuwa la Wiki Mbili au Mwezi kwa mwaka huu wa 2022 bado tu GENTAMYCINE Mimi unayenichukia unayenitukana na Kunikashifu ningeibuka Mshindi.Wamewahi kulifunga shindano wangeacha hata kwa siku 3,
Yani we paka juzi kuna mtu alifungua uzi wa kukuponda nikakutetea mpk nikaomba link nikupigie kura, na nikakupa kura yanguLilikuwa la Siku Tano ( 5 ) na nikuhakikishie hata lingekuwa la Wiki Mbili au Mwezi kwa mwaka huu wa 2022 bado tu GENTAMYCINE Mimi unayenichukia unayenitukana na Kunikashifu ningeibuka Mshindi.
Najua nimebarikiwa nini na Mwenyezi Mungu ambacho Maadui zangu wote hapa JamiiForums hamna na kamwe hamtokuwa nacho.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Ila Kuna sehemu nimekupigia chapuo utolewe kifungoni ushiriki mtanange.Umechelewa muda umeshapita hata hivyo Asante kama ulikuwa na Nia ya Kunichagua GENTAMYCINE katika Shindano hilo.