Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana

Basi hapo utataka uulizwe sababu na ilikuwaje kuwaje ili uone nawe unahitajiiiiikaaaaa, wabongo bana.
 
Hongera mkuu hata hivyo mmekaa sana
 
Uliwaza kuhusu watoto? Aiseeee Mungu anisaidie sana sana, huwa nawaza watoto wangu zaidi...
 
Mmefariki???
Kumaliza mwendo ni kudanja mzee
 
Piga moyo konde na uanze upya

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sitaki kutoa maoni kwani mkirudiana nitaona aibu. Talaka ni kanuni tu za maandishi ila bado mpo pamoja. Maisha ni safari ndefu inabidi kuvumiliana.
 
Mtoa mada si ungetusimulia sababu zilizopelekea kuvunjika kwa Ndoa ili na sisi wengine tupate kujifunza na kujirekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…