Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Pole mkuu, tatiZo nn?Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne.
Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.
Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu uliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda.
Ndiyo hivyo tena hatimaye mimi na mke wangu leo mwendo tumeumaliza.
Mara nyingi kuvunjika kwa Ndoa kunasababisha watoto kuteseka sana, Maana wataanza kuishi kwa staili ya kitofauti kuliko walivyokuwa na wazazi wao na kupelekea wawe na tabia za hovyo.Ila mumeupiga mwingi, watoto wanne kwa usawa huu parefu sana hapo
Sasa hapi vip chakula cha ndoa(sex) napo hakunaWewe ndio mafala duniani. Kama unampenda bado mpaka kukuliza kwa nini unamuacha?. Mimi nilijua unaweka sherehe kabisa kufanikisha kufikia kitu kigumu Talaka??.
Mimi natamani hata kufikia leo Talaka,lakini mwanamke huyu ni king'ang'anizi hatari. Nimetumia kila njia nifikie hatua uliyofikia wewe.
Mpaka siku nikabeba vitu vyote ndani na loli nilimwambia ndio nakupeleka kwenu na vitu vyote vya humu ndani. Aliita watu wote ninaofahamiana nao mpaka wachungaji sio kwamba anaomba samahani ili tu wasuruhishe abaki. Nimesema kwamba kuomba samahani mke ni jeuri,kiburi. Tunaweza tukakaa hata miezi mi3 amenuna tu. Tunaishi kama jehanum karibia mwaka wa 15. Kuachana ndio hataki kabisa.
Mimi nikifikia hatua uliyofikia wewe ni sherehe. Sitarudi nyuma kumfikiria hata nusu,. Halafu sitaoa tena maisha yangu yote yaliyobakia.
Wewe ndio mafala duniani. Kama unampenda bado mpaka kukuliza kwa nini unamuacha?. Mimi nilijua unaweka sherehe kabisa kufanikisha kufikia kitu kigumu Talaka??.
Mimi natamani hata kufikia leo Talaka,lakini mwanamke huyu ni king'ang'anizi hatari. Nimetumia kila njia nifikie hatua uliyofikia wewe.
Mpaka siku nikabeba vitu vyote ndani na loli nilimwambia ndio nakupeleka kwenu na vitu vyote vya humu ndani. Aliita watu wote ninaofahamiana nao mpaka wachungaji sio kwamba anaomba samahani ili tu wasuruhishe abaki. Nimesema kwamba kuomba samahani mke ni jeuri,kiburi. Tunaweza tukakaa hata miezi mi3 amenuna tu. Tunaishi kama jehanum karibia mwaka wa 15. Kuachana ndio hataki kabisa.
Mimi nikifikia hatua uliyofikia wewe ni sherehe. Sitarudi nyuma kumfikiria hata nusu,. Halafu sitaoa tena maisha yangu yote yaliyobakia.
Umejiridhisha mwenye matatizo ni mke?So unaumia au unacheka, nikajua mnajiua nyote kumbe anakwenda kuolewa na bwana mwingine, ndio ujue mke Bora anatoka kwa bwana.
USSR
Ni kama kusogeza siku tu.Daah, kweli ndoa hizi. Mkuu sasa unaishije namna hiyo?
Ni kama hamna ndugu. Maana kila mmoja amelikinai hilo tendo kwa mwenzie. Lipo kwa mbali kama kubakana tu ili kutimiza wajibu.Sasa hapi vip chakula cha ndoa(sex) napo hakuna
Aisee pole sana kwa unayo pitiaNi kama hamna ndugu. Maana kila mmoja amelikinai hilo tendo kwa mwenzie. Lipo kwa mbali kama kubakana tu ili kutimiza wajibu. Nilichokifanya ili kujiokoa na kuuweka sawa moyo usipitie majeraha makubwa,ikanibidi nifungue duka wilaya nyingine na tulipo mkoani. Kwa hiyo muda mwingi namalizia huko shop. Naweza nikawa huko wiki na home siku 3,au 4 sababu ya watoto.
Aisee bado unaikumbuka! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Wewe si ndiye uliyempa yule bibie 7800!? ukamuacha lodge!?
Mwenye sweta lililoandikwa Tanzania!!!?
Duuuuh!Wewe ndio mafala duniani. Kama unampenda bado mpaka kukuliza kwa nini unamuacha?. Mimi nilijua unaweka sherehe kabisa kufanikisha kufikia kitu kigumu Talaka??.
Mimi natamani hata kufikia leo Talaka,lakini mwanamke huyu ni king'ang'anizi hatari. Nimetumia kila njia nifikie hatua uliyofikia wewe.
Mpaka siku nikabeba vitu vyote ndani na loli nilimwambia ndio nakupeleka kwenu na vitu vyote vya humu ndani. Aliita watu wote ninaofahamiana nao mpaka wachungaji sio kwamba anaomba samahani ili tu wasuruhishe abaki. Nimesema kwamba kuomba samahani mke ni jeuri,kiburi. Tunaweza tukakaa hata miezi mi3 amenuna tu. Tunaishi kama jehanum karibia mwaka wa 15. Kuachana ndio hataki kabisa.
Mimi nikifikia hatua uliyofikia wewe ni sherehe. Sitarudi nyuma kumfikiria hata nusu,. Halafu sitaoa tena maisha yangu yote yaliyobakia.
Ahahaaa...! Ndio ukubwa na ndoa. Asante sanaAisee pole sana kwa unayo pitia
Sababu ya talaka ni nini?Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne.
Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.
Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu uliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda.
Ndiyo hivyo tena hatimaye mimi na mke wangu leo mwendo tumeumaliza.
Tatizo mume na mke wakigombana kqa jamii za kitz ndugu wanaingilia pande mbili zinavurugika inakuwa ni uhasama najiulizaga nakosa jibu ni kwann inakuwa ivo hasa ndugu wa mume wanatoka huko kila mtu na lake wanatukana mke mara malaya, na hawajui hata chanzo.Mida hii Mama Agness kakumbatiwa na mwengine kwa ulozi wako😀
Watoto 4 piga moyo konde nenda mkaya wekesawa.. Tuma watu wa kwenu na kwao ili pepo mbaya aepushwe..
Mwenyezi Mungu wasaidie waja wako Amiin Amiin...
Unaweza ukawa mwema Ila mwenzio akakushinda pamoja na wema wakoKipindi hiki talaka zinatembea kichizi, Ooh Father naomba unifanye nizidi kuwa mke mwema... Amen.
Baba Aggy kwanini umemuacha? Pole sana....