Nasikitika wengi Wenu hamjatumia Akili Kubwa kumuelewa Waziri Jerry Slaa na Kauli yake juu ya Kupokea Rushwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tuliosoma vyema Somo la Critical Thinking / Logical Reasoning Chuo Kikuu changu cha Geniuses watupu nchini cha Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT Mwanza 'We Build the City of God' ) mwaka 2009 tumemuelewa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa katika Angles zifuatazo....

1. Kusema Kwake kuwa alikataa Rushwa ya Shilingi Milioni 300 kamaanisha wanaotaka Kumhonga wawe wanaenda na Kiasi cha Juu ya hiko alichokitaa.

2. Kusema Kwake kuwa hapokei Rushwa na Katosheka na anachokipata kama Waziri katengeneza hali ya kutaka Kugopwa na Kutozoeleka hivyo kwa wale Watakaothubutu kutaka kwenda Kumhonga basi wawe Wamejipanga kisawasawa huku wakiwa na Kinachotosheleza na Kisichokataliwa pengine na hata Bosi wake Mkuu aliyemteua.

3. Kusema Kwake waziwazi kuwa hapokei Rushwa yoyote kama Waziri kwa Akili Kubwa hapa katuma Ujumbe Muhimu kwa Watanzania kuwa Serikalini ( na hasa kwa Wao Mawaziri ) na hata Mawaziri wa Wizara aliyoko pamoja na waliokuwa Manaibu Wao walikuwa ni Wala Rushwa na Wamekula mno Rushwa hivyo Kiaina ni kama pia anamtaarifu Boss wake Mkuu ( Rais Samia ) kuwa kuna Rushwa Kubwa mno nchini na sana huko Serikalini waliko.

Mwisho GENTAMYCINE nakuwa wa Kwanza hapa leo hii Kumtabiria yafuatayo kwenda Kumtokea Mheshimiwa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa baada ya Kauli yake hii ya Rushwa....

1. Kuanzia sasa atategwa na kufanyiwa Hujuma Kubwa ambazo huenda zinaathiri hata huo Uwaziri wake

2. Kuanzia sasa ameshajihatarishia Maisha yake kwani wale waliotaka Kumhonga hiyo Shilingi Milioni 300 watajisikia vibaya na Kuogopa kuwa ipo Siku anaweza Kuwataja na Kuwaharibia

3. Kuanzia sasa ameshatengeneza Uadui wa ama moja kwa moja au usio wa moja kwa moja dhidi ya Watendaji wake katika Wizara husika na hata Mawaziri Wenzake ila sidhani kama hata Boss wake Mkuu atamfurahia tena kwani kwa Alichokisema ni kama anaichafua Serikali yake na Yeye pia.

4. Sioni tena kama ataendelea kuwa Waziri wa hiyo Wizara ndani ya Miezi 6, 9 au 12 ijayo.

USHAURI / RAI

Tafadhali Viongozi Waandamizi ( Wakubwa ) Serikalini mkiwa mnazungumza hebu jaribuni Kwanza kuyapima yale mnayotaka Kuyasema au msiwe mnapayuka mkiwa Mmelewa Pombe au mna Hasira Kali ( Uchungu )
 
Huyo jamaa ni tapeli tu. Akatae hela?, Yeye mwenyewe , Ana likampuni lake la ukandarasi anafanya nalo madudu makubwa tu.
Pia Yeye mwenyewe kapewa cheo baada ya kusifia DP world 🤣🤣🤣. Halafu mnamuamini 🤣

Muda utazungumza
 
GENTAMYCINE huwa nawapenda sana Watu wenye Akili ( Werevu ) kama Wewe hapa JamiiForums.

Heko Mkuu.
 
We jamaa fala sanaa😂😂😂😂

Unaonaga unao uwezo wa kutengeneza content kumbe ni mwehu tuu.

Jifunze kuheshimu watu itakusidia sana.

ulichokiandika hapa ni rubbish 🚮🚮🚮🚮🚮
Damn Fool.
 
COVID-19 imerudi !kapataje ujasiri huo !?wakati anajua wahuni watatumia kama kisingizio siku ya kula wali kwenye maturubai!!?
Hata Mimi pia nimemshangaa na kumuonea Huruma Mkuu kwani kasahau kuwa huko aliko ndiko kuna MAFIA WAKUBWA ambao walifanya lao tarehe 17 Machi, 2021 na Kukamilika. Awe makini mno.
 
Tuliosoma vyema Somo la Critical Thinking / Logical Reasoning Chuo Kikuu changu cha Geniuses watupu nchini cha Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT Mwanza 'We Build the City of God' ) mwaka 2009 tumemuelewa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa katika Angles zifuatazo....

1. Kusema Kwake kuwa alikataa Rushwa ya Shilingi Milioni 300 kamaanisha wanaotaka Kumhonga wawe wanaenda na Kiasi cha Juu ya hiko alichokitaa.

2. Kusema Kwake kuwa hapokei Rushwa na Katosheka na anachokipata kama Waziri katengeneza hali ya kutaka Kugopwa na Kutozoeleka hivyo kwa wale Watakaothubutu kutaka kwenda Kumhonga basi wawe Wamejipanga kisawasawa huku wakiwa na Kinachotosheleza na Kisichokataliwa pengine na hata Bosi wake Mkuu aliyemteua.

3. Kusema Kwake waziwazi kuwa hapokei Rushwa yoyote kama Waziri kwa Akili Kubwa hapa katuma Ujumbe Muhimu kwa Watanzania kuwa Serikalini ( na hasa kwa Wao Mawaziri ) na hata Mawaziri wa Wizara aliyoko pamoja na waliokuwa Manaibu Wao walikuwa ni Wala Rushwa na Wamekula mno Rushwa hivyo Kiaina ni kama pia anamtaarifu Boss wake Mkuu ( Rais Samia ) kuwa kuna Rushwa Kubwa mno nchini na sana huko Serikalini waliko.

Mwisho GENTAMYCINE nakuwa wa Kwanza hapa leo hii Kumtabiria yafuatayo kwenda Kumtokea Mheshimiwa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa baada ya Kauli yake hii ya Rushwa....

1. Kuanzia sasa atategwa na kufanyiwa Hujuma Kubwa ambazo huenda zinaathiri hata huo Uwaziri wake

2. Kuanzia sasa ameshajihatarishia Maisha yake kwani wale waliotaka Kumhonga hiyo Shilingi Milioni 300 watajisikia vibaya na Kuogopa kuwa ipo Siku anaweza Kuwataja na Kuwaharibia

3. Kuanzia sasa ameshatengeneza Uadui wa ama moja kwa moja au usio wa moja kwa moja dhidi ya Watendaji wake katika Wizara husika na hata Mawaziri Wenzake ila sidhani kama hata Boss wake Mkuu atamfurahia tena kwani kwa Alichokisema ni kama anaichafua Serikali yake na Yeye pia.

4. Sioni tena kama ataendelea kuwa Waziri wa hiyo Wizara ndani ya Miezi 6, 9 au 12 ijayo.

USHAURI / RAI

Tafadhali Viongozi Waandamizi ( Wakubwa ) Serikalini mkiwa mnazungumza hebu jaribuni Kwanza kuyapima yale mnayotaka Kuyasema au msiwe mnapayuka mkiwa Mmelewa Pombe au mna Hasira Kali ( Uchungu )
Acha kusumbua watu kwenye simu, wewe ni mtu mzima sio mtoto mdogo
 
Hata wewe mwenyewe watakaokulewa inaongelea nini wanaweza kuwa wachache sana kulingana kichwa cha habari na habari yenyewe iliopo ndani
 
Kiongozi akifanya jambo jema na tumpe sifa Ili kumtia moyo, Ulichoandika hapa unanesha kuwa wewe uko upande wa watoa rushwa
 
Tuliosoma vyema Somo la Critical Thinking / Logical Reasoning Chuo Kikuu changu cha Geniuses watupu nchini cha Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT Mwanza 'We Build the City of God' ) mwaka 2009 tumemuelewa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa katika Angles zifuatazo....

1. Kusema Kwake kuwa alikataa Rushwa ya Shilingi Milioni 300 kamaanisha wanaotaka Kumhonga wawe wanaenda na Kiasi cha Juu ya hiko alichokitaa.

2. Kusema Kwake kuwa hapokei Rushwa na Katosheka na anachokipata kama Waziri katengeneza hali ya kutaka Kugopwa na Kutozoeleka hivyo kwa wale Watakaothubutu kutaka kwenda Kumhonga basi wawe Wamejipanga kisawasawa huku wakiwa na Kinachotosheleza na Kisichokataliwa pengine na hata Bosi wake Mkuu aliyemteua.

3. Kusema Kwake waziwazi kuwa hapokei Rushwa yoyote kama Waziri kwa Akili Kubwa hapa katuma Ujumbe Muhimu kwa Watanzania kuwa Serikalini ( na hasa kwa Wao Mawaziri ) na hata Mawaziri wa Wizara aliyoko pamoja na waliokuwa Manaibu Wao walikuwa ni Wala Rushwa na Wamekula mno Rushwa hivyo Kiaina ni kama pia anamtaarifu Boss wake Mkuu ( Rais Samia ) kuwa kuna Rushwa Kubwa mno nchini na sana huko Serikalini waliko.

Mwisho GENTAMYCINE nakuwa wa Kwanza hapa leo hii Kumtabiria yafuatayo kwenda Kumtokea Mheshimiwa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa baada ya Kauli yake hii ya Rushwa....

1. Kuanzia sasa atategwa na kufanyiwa Hujuma Kubwa ambazo huenda zinaathiri hata huo Uwaziri wake

2. Kuanzia sasa ameshajihatarishia Maisha yake kwani wale waliotaka Kumhonga hiyo Shilingi Milioni 300 watajisikia vibaya na Kuogopa kuwa ipo Siku anaweza Kuwataja na Kuwaharibia

3. Kuanzia sasa ameshatengeneza Uadui wa ama moja kwa moja au usio wa moja kwa moja dhidi ya Watendaji wake katika Wizara husika na hata Mawaziri Wenzake ila sidhani kama hata Boss wake Mkuu atamfurahia tena kwani kwa Alichokisema ni kama anaichafua Serikali yake na Yeye pia.

4. Sioni tena kama ataendelea kuwa Waziri wa hiyo Wizara ndani ya Miezi 6, 9 au 12 ijayo.

USHAURI / RAI

Tafadhali Viongozi Waandamizi ( Wakubwa ) Serikalini mkiwa mnazungumza hebu jaribuni Kwanza kuyapima yale mnayotaka Kuyasema au msiwe mnapayuka mkiwa Mmelewa Pombe au mna Hasira Kali ( Uchungu )
Haka nako! Waziri Jerry Slaa ni wa nchi gani? Ujanja wa bure.
 
Back
Top Bottom