Nasikitika wengi Wenu hamjatumia Akili Kubwa kumuelewa Waziri Jerry Slaa na Kauli yake juu ya Kupokea Rushwa

Nasikitika wengi Wenu hamjatumia Akili Kubwa kumuelewa Waziri Jerry Slaa na Kauli yake juu ya Kupokea Rushwa

Kwa hiyo alikuwa anataka 1b na kuendelea kama za urithi ama

Wapo wanaokataa rushwa lakini hawajitangazi tena wanakataa kwa unyenyekevu kwa kutoa sababu za kiimani zaidi
Kama mtu anaweza kukupa 300m je atashindwa kumpa hit and run
Mengine ni kuyaomba yasiwe tu
Ila nchi masikini na rushwa haviachani
Mtu anatoa kabla hajaulizwa ni mfumo rasmi kabisa

Kuwe na mwezi wa kutokipokea rushwa kama mwezi wa usalama barabarani
Hakuna kupokea wala kutoa mwezi mzima
 
Tuliosoma vyema Somo la Critical Thinking / Logical Reasoning Chuo Kikuu changu cha Geniuses watupu nchini cha Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT Mwanza 'We Build the City of God' ) mwaka 2009 tumemuelewa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa katika Angles zifuatazo....

1. Kusema Kwake kuwa alikataa Rushwa ya Shilingi Milioni 300 kamaanisha wanaotaka Kumhonga wawe wanaenda na Kiasi cha Juu ya hiko alichokitaa.

2. Kusema Kwake kuwa hapokei Rushwa na Katosheka na anachokipata kama Waziri katengeneza hali ya kutaka Kugopwa na Kutozoeleka hivyo kwa wale Watakaothubutu kutaka kwenda Kumhonga basi wawe Wamejipanga kisawasawa huku wakiwa na Kinachotosheleza na Kisichokataliwa pengine na hata Bosi wake Mkuu aliyemteua.

3. Kusema Kwake waziwazi kuwa hapokei Rushwa yoyote kama Waziri kwa Akili Kubwa hapa katuma Ujumbe Muhimu kwa Watanzania kuwa Serikalini ( na hasa kwa Wao Mawaziri ) na hata Mawaziri wa Wizara aliyoko pamoja na waliokuwa Manaibu Wao walikuwa ni Wala Rushwa na Wamekula mno Rushwa hivyo Kiaina ni kama pia anamtaarifu Boss wake Mkuu ( Rais Samia ) kuwa kuna Rushwa Kubwa mno nchini na sana huko Serikalini waliko.

Mwisho GENTAMYCINE nakuwa wa Kwanza hapa leo hii Kumtabiria yafuatayo kwenda Kumtokea Mheshimiwa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa baada ya Kauli yake hii ya Rushwa....

1. Kuanzia sasa atategwa na kufanyiwa Hujuma Kubwa ambazo huenda zinaathiri hata huo Uwaziri wake

2. Kuanzia sasa ameshajihatarishia Maisha yake kwani wale waliotaka Kumhonga hiyo Shilingi Milioni 300 watajisikia vibaya na Kuogopa kuwa ipo Siku anaweza Kuwataja na Kuwaharibia

3. Kuanzia sasa ameshatengeneza Uadui wa ama moja kwa moja au usio wa moja kwa moja dhidi ya Watendaji wake katika Wizara husika na hata Mawaziri Wenzake ila sidhani kama hata Boss wake Mkuu atamfurahia tena kwani kwa Alichokisema ni kama anaichafua Serikali yake na Yeye pia.

4. Sioni tena kama ataendelea kuwa Waziri wa hiyo Wizara ndani ya Miezi 6, 9 au 12 ijayo.

USHAURI / RAI

Tafadhali Viongozi Waandamizi ( Wakubwa ) Serikalini mkiwa mnazungumza hebu jaribuni Kwanza kuyapima yale mnayotaka Kuyasema au msiwe mnapayuka mkiwa Mmelewa Pombe au mna Hasira Kali ( Uchungu )
Tumeshakujua kua unaitwa Charles kilian
 
Tumeshakujua kua unaitwa Charles kilian
Hivi Moderators wa JamiiForums na JamiiForums Founder kwanini mnailea sana hii tabia ya kila mara GENTAMYCINE kufanyiwa Name Calling kama hivi huku nikihusishwa tu na kila IDs hapa JamiiForums kama ambavyo huyu Member amenihusisha na hii ya Charles kilian?

GENTAMYCINE nimeshawahi Kupigwa BAN ya Wiki kwa Kosa kama hili ila nasikitika huyu Member anaachwa tu kama hivi. Kwanini hakuna Usawa wa Kihukumu kwa Members hapa JamiiForums? au hawa Wengine ambao wakikosea hawamuwaadhibu Wao ni Shareholders Wakubwa wa huu Mtandao wenu?

Inakera na haivumiliki.

Cc: Moderators Cookie, Paw, YinYang, Active, Mhariri, Moderator, JamiiForums, Fang, Wand, Xyln, BlackBold, Boqin, Diversity, Bridger and JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Back
Top Bottom