Nasikitika wengi Wenu hamjatumia Akili Kubwa kumuelewa Waziri Jerry Slaa na Kauli yake juu ya Kupokea Rushwa

Kwa hiyo alikuwa anataka 1b na kuendelea kama za urithi ama

Wapo wanaokataa rushwa lakini hawajitangazi tena wanakataa kwa unyenyekevu kwa kutoa sababu za kiimani zaidi
Kama mtu anaweza kukupa 300m je atashindwa kumpa hit and run
Mengine ni kuyaomba yasiwe tu
Ila nchi masikini na rushwa haviachani
Mtu anatoa kabla hajaulizwa ni mfumo rasmi kabisa

Kuwe na mwezi wa kutokipokea rushwa kama mwezi wa usalama barabarani
Hakuna kupokea wala kutoa mwezi mzima
 
Tumeshakujua kua unaitwa Charles kilian
 
Tumeshakujua kua unaitwa Charles kilian
Hivi Moderators wa JamiiForums na JamiiForums Founder kwanini mnailea sana hii tabia ya kila mara GENTAMYCINE kufanyiwa Name Calling kama hivi huku nikihusishwa tu na kila IDs hapa JamiiForums kama ambavyo huyu Member amenihusisha na hii ya Charles kilian?

GENTAMYCINE nimeshawahi Kupigwa BAN ya Wiki kwa Kosa kama hili ila nasikitika huyu Member anaachwa tu kama hivi. Kwanini hakuna Usawa wa Kihukumu kwa Members hapa JamiiForums? au hawa Wengine ambao wakikosea hawamuwaadhibu Wao ni Shareholders Wakubwa wa huu Mtandao wenu?

Inakera na haivumiliki.

Cc: Moderators Cookie, Paw, YinYang, Active, Mhariri, Moderator, JamiiForums, Fang, Wand, Xyln, BlackBold, Boqin, Diversity, Bridger and JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…