Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

Tatizo hajawahi kujua ukubwa wa nafasi aliyonayo katika nchi. Ndio maana anaropoka tu hovyo hovyo, yeye anajiona ni mme wa Janet na baba wa Jesca. Anatoa majibu tu kama yuko dinner na familia yake. Mdomo wake siku zote ndio unamponza, hana breki; chunguza kila akimaliza kuongea kuna jambo linavurugika tu. Aliropoka maswala ya wanafunzi na mimba, tukaingia gharama za kuanza kushawishi mikopo kwa nguvu za ziada. Aliropoka kuhusu wakazi wa Kimara-Mbezi, tukakosa mkopo wa kujenga Kimara-Kibaha highway. Mdogo wake ndio tatizo, hajui uzito wa kauli zake.
 
Si ndio maana Raisi wa wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohooo!!! Kumbe ni walewale kina Afande Sele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itafika mahali hata'sisimizi' kama ulivyo wewe mtaanza kuambiwa mmsujudie kila akipita karibu nanyi.
Huyu mtu ananguvu na mabavu mengi na anajua jinsi ya kuyatumia bila ya aibu yoyote.

Ametokea kuwa kiongozi wa kipekee sana.

Hii korona imekuja kutufumbua macho zaidi na kumjua alivyo kiuhalisia.
 
Anatoa majibu ya dharua maana anasema yeye ndio anavilipa vyombo vya dola.

Na akisumbuliwa tu atahakikisha anawapa watu wa vyombo vya dola hela nyingi kuhakikisha wanamlinda.
Hawa ni dakika moja tu kugeuza upepo.
Alipofikia sasa bila shaka hata wao wanashangaa kinachomsumbua hasa ni kipi, maana haijulikani kwa nini awe na tabia za ajabu kiasi hiki.
 
Kila kitu ni kulalamika tu utadhani matoto madogo, kila mtu ni wa MUNGU na MUNGU anamjua, huwapa watu wote karama. Ridhiki kadri ya atakavyo, nyie mnadhani Magufuli yupo tu kajiweka bila MUNGU kujua!!
Looo, huyu mungu atakuwa na mipango miovu sana kwa Tanzania. Sijui tumemkosea nini hadi atuletee huyu.

Lakini kwa vile yeye ni mweza yote, sina shaka atatuangalia kwa jicho la huruma muda si mrefu toka sasa.

Tuombe tu azidi kutupa uzima.
 
Kama mnategemea mabadiliko mwafa! Tena awamu ya pili mtakachokipata mtaombapo! Jueni kabisa awamu ya pili ni ya mwisho hana cha kupoteza kwa atakachowafanya ni yeye tu ndiye anajua! Ni wa kupiga chini huyu!
 

Hamna rasta mpuuzi wa aina yako. Mungu ndio anamtuma anajisi chaguzi za nchi hii?
 
"Ikulu sio pa kukimbilia" - J.K Nyerere 1995
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…