Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
- Thread starter
- #21
Watasema nimenunuliwa kutoka wapi Mkuu?Upo sahihi, ila jiandae kuoga matusi na tuhuma kuwa ''umenunuliwa''.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watasema nimenunuliwa kutoka wapi Mkuu?Upo sahihi, ila jiandae kuoga matusi na tuhuma kuwa ''umenunuliwa''.
Mkuu kazi ya rais na mkuu wa nchi ni pamoja na kuiwakilisha nchi etc. Kwa mtazamo wangu Magu amefanya kazi yake Kama rais na mkuu wa nchi kwa less than 40% kutokana na uwezo wake mdogo.Yaani Kama Magu ameweza kuwa rais sioni mtanzania mwingine anayeweza kushindwa kufanya kazi hiyo.2025 sitashangaa zaidi ya watu Mia wakiomba nafasi hiyo kupitia ccmZimwi likujualo halikuli likakwisha , Lissu Hana uwezo wowote wa kuongoza hii nchi , unless kama tunaongea kishabiki na chuki , labda kama ni kwenda kumshangaa mtu aliyepigwa risasi 16 na kuweza kusurvive kwa Hilo linatosha kujaza mikutano yake, ila kwenye kura hata yeye hataamini majicho
Safi sana, hata Maloya pia wameshaona uwa Tundu lisu ni Msanii, mwanzoni nilifikiri sapoti pekee aliyonayo (Tundu) ni maloya na wanafunzi wa uloya, sasa kumbe hata wao wameshamshtukia kwamba hamna kitu pale, ...
😂😂😂😂😂😂Sasa sera zake hujasikia we unaunga mkono kitu gani,,, inaniuma sana kuzaliwa nchi moja na wewe
Kibaraka wa Prof Kabudi mlamba miguu mkuu wa magufuli usimame na nani tena???? Unajulikana humu. Alafu Eti unasema huna Chama??? Tunakujua vizuri sana zaidi ya unavyojifahamu!Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!. Katika andiko langu hilo, niliahidi mgombea wa kusimama naye katika kuelekea uchaguzi mkuu huu.
Wengi wetu tunajua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshakamilisha uteuzi wa wagombea wa Urais. Pia, tunafahamu kuwa kampeni za Urais zinaanza leo ambapo CHADEMA watazindua kampeni zao Mbagala, jijini Dar es Salaam. Kesho itakuwa zamu ya CCM kuzindua kampeni zao huko jijini Dodoma. Wapo wagombea wengi katika ngazi ya Urais. Lakini, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa sasa wa Tanzania na mgombea wa CCM pamoja na Wakili Msomi Tundu Antiphas M. Lissu wanabaki kuwa wagombea wanaofuatiliwa Zaidi.
Ndiyo kusema, katika ngazi ya Urais, mchuano mkali utakuwa kati ya wagombea hao wawili. Kama mtanzania wa kawaida, mfuatiliaji wa siasa na nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko, nawiwa kusimama na Dr. John Pombe Magufuli, mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Naahidi kumuunga mkono katika kampeni zake atakazozianza kesho na kumuombea kura pale itakapobidi kwa nafasi yangu. Sababu za kumuunga mkono nitazieleza katika siku zijazo humuhumu JF zikichagizwa na yatakayosemwa kwenye kampeni.
#Nasimama na JPM kwa miaka mitano mingine!
Unaweza kuthibitisha haya humu au kwingineko? Karibu Mkuu uniumbueKibaraka wa Prof Kabudi mlamba miguu mkuu wa magufuli usimame na nani tena???? Unajulikana humu. Alafu Eti unasema huna Chama??? Tunakujua vizuri sana zaidi ya unavyojifahamu!
Ila jueni tu mwaka huu ndo mwisho wa udhalimu wenu wote nyie CCM. Kuna ujumbe mkubwa sana mtaupata mwaka huu !!
Hakika. And this is my opinion.... I stand with JPM!Everybody is entitled to their opinion, learned brother Petro Eusebius Mselewa
Ithibitishwe Mara ngapi wakati unajulikanaUnaweza kuthibitisha haya humu au kwingineko? Karibu Mkuu uniumbue
Sawa! Ndio maana nimemuuliza swali hilo kwa makusudi kutokana na kile alichokisema hapa.Mkuu take it from me,huyo ni kada,wote humu jamvini tunamjua except wewe tu
umeona eeh, halafu anajiita wakili msomi!.Unamuunga mkono mgombea kabla ya kampeni? Kabla ya kuzisikia sera?
Si kweli Mkuu. Sijawahi kujiunga na chama chochote. Yeyote atakayethibitisha vinginevyo namkaribisha hapa aniumbue. Tatizo langu huwa nauzungumza ukweli vile ulivyo.Ithibitishwe Mara ngapi wakati unajulikana
And democracy is to let others stand for whom and what they choose and like lawfully. To antagonize your critics is undemocraticHakika. And this is my opinion.... I stand with JPM!
Unazungumza ukweli upi??? Ni wapi umewai kukemea udhalimu unaofanywa na Chama cha huyo mtu unayesema unam support??? Wamepora majimbo zaidi ya 80 kwa wapinzani kwa kujitangaza kuwa wamepita bila kupingwa huku wakifanya udhalimu wa kila aina, Ni wapi umekemea haya kama wewe unasimamia ukweli????Si kweli Mkuu. Sijawahi kujiunga na chama chochote. Yeyote atakayethibitisha vinginevyo namkaribisha hapa aniumbue. Tatizo langu huwa nauzungumza ukweli vile ulivyo.
Nina matatizo makubwa sana na tabia za Magufuli, ila ninakubaliana 100% kwa misimamo yake kutetea maslahi ya kitaifa, na vile vile nina matatizo makubwa sana na busara za Lissu kuhusu maslahi ya taifa ingawa nakubaliana naye 80% kuwa inabidi sheria zifuatwe.Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!. Katika andiko langu hilo, niliahidi mgombea wa kusimama naye katika kuelekea uchaguzi mkuu huu.
Wengi wetu tunajua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshakamilisha uteuzi wa wagombea wa Urais. Pia, tunafahamu kuwa kampeni za Urais zinaanza leo ambapo CHADEMA watazindua kampeni zao Mbagala, jijini Dar es Salaam. Kesho itakuwa zamu ya CCM kuzindua kampeni zao huko jijini Dodoma. Wapo wagombea wengi katika ngazi ya Urais. Lakini, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa sasa wa Tanzania na mgombea wa CCM pamoja na Wakili Msomi Tundu Antiphas M. Lissu wanabaki kuwa wagombea wanaofuatiliwa Zaidi.
Ndiyo kusema, katika ngazi ya Urais, mchuano mkali utakuwa kati ya wagombea hao wawili. Kama mtanzania wa kawaida, mfuatiliaji wa siasa na nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko, nawiwa kusimama na Dr. John Pombe Magufuli, mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Naahidi kumuunga mkono katika kampeni zake atakazozianza kesho na kumuombea kura pale itakapobidi kwa nafasi yangu. Sababu za kumuunga mkono nitazieleza katika siku zijazo humuhumu JF zikichagizwa na yatakayosemwa kwenye kampeni.
#Nasimama na JPM kwa miaka mitano mingine!
Wait for an appointment thereafter....njaaaaa.....njaaaaaaaNilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!. Katika andiko langu hilo, niliahidi mgombea wa kusimama naye katika kuelekea uchaguzi mkuu huu.