Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kama ni rahisi kiasi hicho, hila za nini kwa wapinzani ?! .Uchaguzi huu ni rahisi sana kwa Rais Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni rahisi kiasi hicho, hila za nini kwa wapinzani ?! .Uchaguzi huu ni rahisi sana kwa Rais Magufuli.
Kwasababu sheria ni taaluma ya makidai. Wao ndio wanajiona wamesoma kuliko watu wote. Wanasema katika kila fani/taaluma kuna aspect ya sheriaKwanini hawa jamaa wanaitwa wakili wasomi?
Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!. Katika andiko langu hilo, niliahidi mgombea wa kusimama naye katika kuelekea uchaguzi mkuu huu.
Wengi wetu tunajua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshakamilisha uteuzi wa wagombea wa Urais. Pia, tunafahamu kuwa kampeni za Urais zinaanza leo ambapo CHADEMA watazindua kampeni zao Mbagala, jijini Dar es Salaam. Kesho itakuwa zamu ya CCM kuzindua kampeni zao huko jijini Dodoma. Wapo wagombea wengi katika ngazi ya Urais. Lakini, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa sasa wa Tanzania na mgombea wa CCM pamoja na Wakili Msomi Tundu Antiphas M. Lissu wanabaki kuwa wagombea wanaofuatiliwa Zaidi.
Ndiyo kusema, katika ngazi ya Urais, mchuano mkali utakuwa kati ya wagombea hao wawili. Kama mtanzania wa kawaida, mfuatiliaji wa siasa na nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko, nawiwa kusimama na Dr. John Pombe Magufuli, mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Naahidi kumuunga mkono katika kampeni zake atakazozianza kesho na kumuombea kura pale itakapobidi kwa nafasi yangu. Sababu za kumuunga mkono nitazieleza katika siku zijazo humuhumu JF zikichagizwa na yatakayosemwa kwenye kampeni.
#Nasimama na JPM kwa miaka mitano mingine!
Kibaraka wa Prof Kabudi mlamba miguu mkuu wa magufuli usimame na nani tena???? Unajulikana humu. Alafu Eti unasema huna Chama??? Tunakujua vizuri sana zaidi ya unavyojifahamu!
Ila jueni tu mwaka huu ndo mwisho wa udhalimu wenu wote nyie CCM. Kuna ujumbe mkubwa sana mtaupata mwaka huu !!
Mkuu, anza na hili halafu nitarudi:Nani amewajazia 'kitaalamu na kiusahihi' wagombea wa CCM? Inaruhusiwa kujaziwa fomu za kugombea?Unazungumza ukweli upi??? Ni wapi umewai kukemea udhalimu unaofanywa na Chama cha huyo mtu unayesema unam support??? Wamepora majimbo zaidi ya 80 kwa wapinzani kwa kujitangaza kuwa wamepita bila kupingwa huku wakifanya udhalimu wa kila aina, Ni wapi umekemea haya kama wewe unasimamia ukweli????
Halafu ni lawyer huyo !!Sasa sera zake hujasikia we unaunga mkono kitu gani,,, inaniuma sana kuzaliwa nchi moja na wewe
Mkuu Magufuli anabebwa na silka yake, mwaka 2015 kipindi vikao vinaendelea pale Dodoma Kila mtu alitega sikio kujua nani atapewa kijiti kupeperusha bendera ya chama Cha CCM, binafsi kipindi hicho nilikuwa dilema! Sikujua Nani naweza kumpa kura yangu zaidi ya Dr. Slaa, lakini nafsi yangu nikisema Lowasa siwezi kumpa ata Membe siwez kumpa kura yangu!Mkuu wanaccm tunachagua chama,hayo Mambo ya sera sijui nini ni secondary kwetu
Usichoke mivyeo bado iko mingiNilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!. Katika andiko langu hilo, niliahidi mgombea wa kusimama naye katika kuelekea uchaguzi mkuu huu.
Wengi wetu tunajua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshakamilisha uteuzi wa wagombea wa Urais. Pia, tunafahamu kuwa kampeni za Urais zinaanza leo ambapo CHADEMA watazindua kampeni zao Mbagala, jijini Dar es Salaam. Kesho itakuwa zamu ya CCM kuzindua kampeni zao huko jijini Dodoma. Wapo wagombea wengi katika ngazi ya Urais. Lakini, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa sasa wa Tanzania na mgombea wa CCM pamoja na Wakili Msomi Tundu Antiphas M. Lissu wanabaki kuwa wagombea wanaofuatiliwa Zaidi.
Ndiyo kusema, katika ngazi ya Urais, mchuano mkali utakuwa kati ya wagombea hao wawili. Kama mtanzania wa kawaida, mfuatiliaji wa siasa na nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko, nawiwa kusimama na Dr. John Pombe Magufuli, mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Naahidi kumuunga mkono katika kampeni zake atakazozianza kesho na kumuombea kura pale itakapobidi kwa nafasi yangu. Sababu za kumuunga mkono nitazieleza katika siku zijazo humuhumu JF zikichagizwa na yatakayosemwa kwenye kampeni.
#Nasimama na JPM kwa miaka mitano mingine!
Ulitoa iyo thread kama swali!!! Ni wapi ulilaani huo udhalimu????Mkuu, anza na hili halafu nitarudi:Nani amewajazia 'kitaalamu na kiusahihi' wagombea wa CCM? Inaruhusiwa kujaziwa fomu za kugombea?
Kwa kutumia bunduki sawaUchaguzi huu ni rahisi sana kwa Rais Magufuli.
Thinking beyond measures: CCM ni 'mafundi' wa kutengeneza 'matukio' na 'Wapinzani feki'Ulitoa iyo thread kama swali!!! Ni wapi ulilaani huo udhalimu????
Ha ha ha [emoji23] full mazezetaSasa sera zake hujasikia we unaunga mkono kitu gani,,, inaniuma sana kuzaliwa nchi moja na wewe
Kwasababu sheria ni taaluma ya makidai. Wao ndio wanajiona wamesoma kuliko watu wote. Wanasema katika kila fani/taaluma kuna aspect ya sheria
Kura za upinzani zimeshagawanywa kwa wao kwa wao. Ccm itashinda maeneo mengi nafikiri mpaka level ya uraisi.
Hizo barabara ziandaliwe tu.
Unazungumza ukweli upi??? Ni wapi umewai kukemea udhalimu unaofanywa na Chama cha huyo mtu unayesema unam support??? Wamepora majimbo zaidi ya 80 kwa wapinzani kwa kujitangaza kuwa wamepita bila kupingwa huku wakifanya udhalimu wa kila aina, Ni wapi umekemea haya kama wewe unasimamia ukweli????
Ni wapi pia umekemea kwenye hiyo thread????
Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!. Katika andiko langu hilo, niliahidi mgombea wa kusimama naye katika kuelekea uchaguzi mkuu huu.
Wengi wetu tunajua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshakamilisha uteuzi wa wagombea wa Urais. Pia, tunafahamu kuwa kampeni za Urais zinaanza leo ambapo CHADEMA watazindua kampeni zao Mbagala, jijini Dar es Salaam. Kesho itakuwa zamu ya CCM kuzindua kampeni zao huko jijini Dodoma. Wapo wagombea wengi katika ngazi ya Urais. Lakini, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa sasa wa Tanzania na mgombea wa CCM pamoja na Wakili Msomi Tundu Antiphas M. Lissu wanabaki kuwa wagombea wanaofuatiliwa Zaidi.
Ndiyo kusema, katika ngazi ya Urais, mchuano mkali utakuwa kati ya wagombea hao wawili. Kama mtanzania wa kawaida, mfuatiliaji wa siasa na nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko, nawiwa kusimama na Dr. John Pombe Magufuli, mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Naahidi kumuunga mkono katika kampeni zake atakazozianza kesho na kumuombea kura pale itakapobidi kwa nafasi yangu. Sababu za kumuunga mkono nitazieleza katika siku zijazo humuhumu JF zikichagizwa na yatakayosemwa kwenye kampeni.
#Nasimama na JPM kwa miaka mitano mingine!
CCM, hivi sisi mnatuonaje?Ulitoa iyo thread kama swali!!! Ni wapi ulilaani huo udhalimu????
Sijaona kwenye hiyo thread ukikemea huo udhalimu zaidi ya kuuliza swali tu!!
Wakudadavua mlimuaminisha Mzee kuwa ni yeye tu, vyama vingine vimekufa . Sasa hila zote kwa wapinzani za nini kama kweli vyama vyao vimekufa ?!Upo sahihi, ila jiandae kuoga matusi na tuhuma kuwa ''umenunuliwa''.
Tatizo lenu mnadhani ccm ndio Taifa yani kuilinda ccm na bunduki ndio kulinda Taifa? hebu kuweni seriousNina matatizo makubwa sana na tabia za Magufuli, ila ninakubaliana 100% kwa misimamo yake kutetea maslahi ya kitaifa, na vile vile nina matatizo makubwa sana na busara za lissu ingawa nakubaliana naye 80% kuwa inabidi sheria zifuatwe.
Hapa at least ulisema jambo!!! Sio kwa hizo thread ulizoleta hapo juu ambazo hukukemea lolote!!!