Uchaguzi 2020 Nasimama na Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM

Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!. Katika andiko langu hilo, niliahidi mgombea wa kusimama naye katika kuelekea uchaguzi mkuu huu.

Wengi wetu tunajua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshakamilisha uteuzi wa wagombea wa Urais. Pia, tunafahamu kuwa kampeni za Urais zinaanza leo ambapo CHADEMA watazindua kampeni zao Mbagala, jijini Dar es Salaam. Kesho itakuwa zamu ya CCM kuzindua kampeni zao huko jijini Dodoma. Wapo wagombea wengi katika ngazi ya Urais. Lakini, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa sasa wa Tanzania na mgombea wa CCM pamoja na Wakili Msomi Tundu Antiphas M. Lissu wanabaki kuwa wagombea wanaofuatiliwa Zaidi.

Ndiyo kusema, katika ngazi ya Urais, mchuano mkali utakuwa kati ya wagombea hao wawili. Kama mtanzania wa kawaida, mfuatiliaji wa siasa na nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko, nawiwa kusimama na Dr. John Pombe Magufuli, mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Naahidi kumuunga mkono katika kampeni zake atakazozianza kesho na kumuombea kura pale itakapobidi kwa nafasi yangu. Sababu za kumuunga mkono nitazieleza katika siku zijazo humuhumu JF zikichagizwa na yatakayosemwa kwenye kampeni.

#Nasimama na JPM kwa miaka mitano mingine!
Mara tatu umetaja Dr John Magufuli na Msomi Lissu. Hivi ni nini alichosoma Lissu zaidi ya PhD ya Magufuli, kiasi kwamba iwe ni sifa ya kuwapambanua? Wote wawili ni wanaume. Hivyo hakuna sababu ya kutaja jinsi zao. Mmoja angekuwa mwanaume na mwingine mwanamke kungekuwa na mantiki kutaja jinsia kwa sababu hilo lina mshiko katika upigaji kura. Sasa unapambanisha usomi wa Lissu sijui na nini cha Magufuli? Nawaza tu.
 
Tunasimama na JPM 2020-2025. He's the best candidate by far.

Yale majimbo tunaita magumu;
Mdee Vs Gwajima....Mdeeāœ“
Lema Vs Gambo......Gamboāœ“
Tulia Vs Sugu............Suguāœ“
 
Zimwi likujualo halikuli likakwisha , Lissu Hana uwezo wowote wa kuongoza hii nchi , unless kama tunaongea kishabiki na chuki , labda kama ni kwenda kumshangaa mtu aliyepigwa risasi 16 na kuweza kusurvive kwa Hilo linatosha kujaza mikutano yake, ila kwenye kura hata yeye hataamini majicho
Huyo JPM ndo ana uwezo?
 
Tunasimama na JPM 2020-2025. He's the best candidate by far.

Yale majimbo tunaita magumu;
Mdee Vs Gwajima....Mdeeāœ“
Lema Vs Gambo......Gamboāœ“
Tulia Vs Sugu............Suguāœ“
Naweza kukubaliana nwe kuhu Kawe; Mdee anaweza kupita kirahisi sana dhidi ya askofu tapeli Gwajima, ila hayo majimbo mengine mawili siyo rahisi kusema hvyo.
 
Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!. Katika andiko langu hilo, niliahidi mgombea wa kusimama naye katika kuelekea uchaguzi mkuu huu.

Wengi wetu tunajua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshakamilisha uteuzi wa wagombea wa Urais. Pia, tunafahamu kuwa kampeni za Urais zinaanza leo ambapo CHADEMA watazindua kampeni zao Mbagala, jijini Dar es Salaam. Kesho itakuwa zamu ya CCM kuzindua kampeni zao huko jijini Dodoma. Wapo wagombea wengi katika ngazi ya Urais. Lakini, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa sasa wa Tanzania na mgombea wa CCM pamoja na Wakili Msomi Tundu Antiphas M. Lissu wanabaki kuwa wagombea wanaofuatiliwa Zaidi.

Ndiyo kusema, katika ngazi ya Urais, mchuano mkali utakuwa kati ya wagombea hao wawili. Kama mtanzania wa kawaida, mfuatiliaji wa siasa na nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko, nawiwa kusimama na Dr. John Pombe Magufuli, mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Naahidi kumuunga mkono katika kampeni zake atakazozianza kesho na kumuombea kura pale itakapobidi kwa nafasi yangu. Sababu za kumuunga mkono nitazieleza katika siku zijazo humuhumu JF zikichagizwa na yatakayosemwa kwenye kampeni.

#Nasimama na JPM kwa miaka mitano mingine!
Wakili msomi, Wewe na pasco kama ccm ikipita alafu kwenye tenzi muachwe tena nitaandamana na mabango ntabeba!
 
Sasa sera zake hujasikia we unaunga mkono kitu gani,,, inaniuma sana kuzaliwa nchi moja na wewe
Eminentia na Frank the Great mnasisitiza kusikia sera kwanza kabla ya kuamua umpigie kura nani. Hivi kweli kuna mtu anangojea kusikia sera za Magufuli kabla ya kuamua kama ampigie kura au la? Sera za chama chake za 2015 zinajulikana na ameonyesha uwezo wa kuzitekeleza kwa karibu asilimia 100. Wananchi wenyewe tumeona alichoweza kufanya katika miaka hii mitano iliyopita. Hivi kweli kuna mtu anahitaji bado kumsikia Magufuli aseme sera zake kwanza kwamba ninaweza au nitafanya kadha wa kadha? Mzalendo wa kweli hahitaji porojo za maneno baada ya kujionea kwa macho kilichofanyika. Labda Lissu ndiye atuambie atatufanyia nini bora zaidi ya Magufuli kwa kuwa hatujaona nini alichofanya cha kutufanya tumpigie kura. Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!. Katika andiko langu hilo, niliahidi mgombea wa kusimama naye katika kuelekea uchaguzi mkuu huu.

Wengi wetu tunajua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshakamilisha uteuzi wa wagombea wa Urais. Pia, tunafahamu kuwa kampeni za Urais zinaanza leo ambapo CHADEMA watazindua kampeni zao Mbagala, jijini Dar es Salaam. Kesho itakuwa zamu ya CCM kuzindua kampeni zao huko jijini Dodoma. Wapo wagombea wengi katika ngazi ya Urais. Lakini, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa sasa wa Tanzania na mgombea wa CCM pamoja na Wakili Msomi Tundu Antiphas M. Lissu wanabaki kuwa wagombea wanaofuatiliwa Zaidi.

Ndiyo kusema, katika ngazi ya Urais, mchuano mkali utakuwa kati ya wagombea hao wawili. Kama mtanzania wa kawaida, mfuatiliaji wa siasa na nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko, nawiwa kusimama na Dr. John Pombe Magufuli, mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Naahidi kumuunga mkono katika kampeni zake atakazozianza kesho na kumuombea kura pale itakapobidi kwa nafasi yangu. Sababu za kumuunga mkono nitazieleza katika siku zijazo humuhumu JF zikichagizwa na yatakayosemwa kwenye kampeni.

#Nasimama na JPM kwa miaka mitano mingine!
JPM tano tena.
 
Wakili msomi, Wewe na pasco kama ccm ikipita alafu kwenye tenzi muachwe tena nitaandamana na mabango ntabeba!
Hayo ndiyo makosa mnayofanya upinzani. Mtu akitoa hoja ya kuunga mkono CCM, anabezwa kujipendekeza ili apate cho chote. Kwa nini upinzani tu ndio wawe na uhuru wa kutoa maoni? Santesandy na Pasco unaowataja, wametoa maoni yao yanayounga mkono CCM. Hiyo ni haki yao na wana uhuru wa kufanya hivyo. Huna haki ya kuwadhihaki kwamba wanajipendekeza; sawa kama vile wao hawakukuambia wewe unajipendekeza upande mwingine.
 
Post yangu kwa pasco na Mselewa ni utani, mara nyingi, lakini nawaheshimu sana. Kwa mfano mimi na wewe tupo hapa kwa majina ya bandia, lakini hawa jamaa wapo kwa utambulisho wao halisi! Na kwa taarifa yako, tunao jua kusoma between the lines, hawa jamaa tunawaelewaga!
 
Kura za upinzani zimeshagawanywa kwa wao kwa wao. Ccm itashinda maeneo mengi nafikiri mpaka level ya uraisi.

Hizo barabara ziandaliwe tu.

CCM haitashinda kwa kura za wananchi itashindwa kwa hila za wasimamizi wa uchaguzi hilo liko wazi kama hivo walivoanza kiengua wagombea wa vyama vya upinzani ninaona huko mbele kuna giza nene sijajuwa wapinzani wataendelea kukubali wagombea wao waenguliwe kwa hila za CCM hadi lini. Kama ni kweli ile kauli ya sasa basi ni wazi kuwa tunako kwenda kutakuwa na giza nene sana kama hawa wenzetu tume wenye mamlaka hawataki kusimamia haki
 
Back
Top Bottom