Uchaguzi 2020 Nasimama na Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM

Mkuu kazi ya rais na mkuu wa nchi ni pamoja na kuiwakilisha nchi etc. Kwa mtazamo wangu Magu amefanya kazi yake Kama rais na mkuu wa nchi kwa less than 40% kutokana na uwezo wake mdogo.Yaani Kama Magu ameweza kuwa rais sioni mtanzania mwingine anayeweza kushindwa kufanya kazi hiyo.2025 sitashangaa zaidi ya watu Mia wakiomba nafasi hiyo kupitia ccm
 
Safi sana, hata Maloya pia wameshaona uwa Tundu lisu ni Msanii, mwanzoni nilifikiri sapoti pekee aliyonayo (Tundu) ni maloya na wanafunzi wa uloya, sasa kumbe hata wao wameshamshtukia kwamba hamna kitu pale, ...

Usishangae sana hata yule kawudi naye anamwuunga mkono sana tu. Usitishwe na ile mimacho. Kaniki ni rangi yake.
 
Kibaraka wa Prof Kabudi mlamba miguu mkuu wa magufuli usimame na nani tena???? Unajulikana humu. Alafu Eti unasema huna Chama??? Tunakujua vizuri sana zaidi ya unavyojifahamu!

Ila jueni tu mwaka huu ndo mwisho wa udhalimu wenu wote nyie CCM. Kuna ujumbe mkubwa sana mtaupata mwaka huu !!
 
Unaweza kuthibitisha haya humu au kwingineko? Karibu Mkuu uniumbue
 
Mkuu take it from me,huyo ni kada,wote humu jamvini tunamjua except wewe tu
Sawa! Ndio maana nimemuuliza swali hilo kwa makusudi kutokana na kile alichokisema hapa.

Kama yeye si mwanachama wa chama chochote kile cha siasa, iweje kumuunga mkono mgombea bila kuzisikiliza sera zake? Otherwise ni mfuasi ama kada mtiifu!
 
Ithibitishwe Mara ngapi wakati unajulikana
Si kweli Mkuu. Sijawahi kujiunga na chama chochote. Yeyote atakayethibitisha vinginevyo namkaribisha hapa aniumbue. Tatizo langu huwa nauzungumza ukweli vile ulivyo.
 
Si kweli Mkuu. Sijawahi kujiunga na chama chochote. Yeyote atakayethibitisha vinginevyo namkaribisha hapa aniumbue. Tatizo langu huwa nauzungumza ukweli vile ulivyo.
Unazungumza ukweli upi??? Ni wapi umewai kukemea udhalimu unaofanywa na Chama cha huyo mtu unayesema unam support??? Wamepora majimbo zaidi ya 80 kwa wapinzani kwa kujitangaza kuwa wamepita bila kupingwa huku wakifanya udhalimu wa kila aina, Ni wapi umekemea haya kama wewe unasimamia ukweli????
 
Nina matatizo makubwa sana na tabia za Magufuli, ila ninakubaliana 100% kwa misimamo yake kutetea maslahi ya kitaifa, na vile vile nina matatizo makubwa sana na busara za Lissu kuhusu maslahi ya taifa ingawa nakubaliana naye 80% kuwa inabidi sheria zifuatwe.
 
Wait for an appointment thereafter....njaaaaa.....njaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…