Nasimama upande wa Keshas namtetea hana makosa hata kama kweli anawalala hao wadada

Nasimama upande wa Keshas namtetea hana makosa hata kama kweli anawalala hao wadada

Lakini ukiangalia kiubinadamu hao wanawake ndio wendawazimu, hizo aina za dawa tulizisikia zamani enzi za waganga kutumia mbinu hiyo ya ‘kuingiza’ dawa kwa wanawake sio zama hizi.

Ila wewe nae una balaa? Kwahiyo unataka kusema Zari nae ‘aliingiziwa’ dawa na Keshas? Hii mbona ni mpya?
Nenda kachunguze utuletee ubuyu kamili basi☺️
 
Mnapeeeenda ubuyu, nikiwaletea wa moto mnaanza kunitisha kufungwa!
Kitu kizuri lazima kipingwe.

Hao hawana tofauti na wadudu wanaoizingira taa iwakayo gizani.

Hao wachawi. Usilegeze; leta ubuyu hadi wazoee.

Hakuna wa kukufanya kitu!
 
Kawafaidii sana

Poleni sana wenye wake na madem zenu

Ova
 
Ila jamaa kawafaidi sana
Sjui anaendelea kuwafaidi au

Ova
watu wamemuonea wivuuu...ila ataendelea kuyapataa mtahiraa yapo mengi sanaa. mtu anakwambia aliambiwa angiziwe dawa kwa dudu akakubalii leo utasemaje amebakwa??? mtu anatoa laki 9 aingiziwe dawa apunguee 😀 😀 😀 😀 😀 ni upepo mbaya utapita jamaa atapata wateja wengi zaidi
 
Wala jamaa hana tatizo wanawake hao wamependa wenyewe
Ila dah jamaa kafaidi sana kushika binyabinya misambwanda mipaja miguu
Chezea sana mitaro yahoo
Huyu kweli mwamba

Ova
 
Yani mimi kitu ambacho sielewi hivi siku hizi guts na haya wanawake wameiweka wapi hadi anaweza kwenda akamvulia mwanamme eti ampake dawa kwenye K au amnyoe mavuzi. Kwa kweli dunia iko kasi sana.
Makubwa
Mie mgeni
Kwahiyo ndo anatoka hizo huduma?
 
Back
Top Bottom