Nasisitiza, kijana kama upo chini Miaka 40 usioe Single mother. Hilo huhitaji mjadala

🀣🀣Walikufanya nini

Hawajawahi nifanya kitu.
Ila najua mishemishe Zao.

Rafiki yangu Babaake NI mganga, nilikuwa nashinda Kule wakati Fulani kwa huyo Mzee, Kipindi nipo O Level kuna mambo niliyaona kuhusu wanawake. Hatari Sana.
Alafu ni wanawake wenye kuheshimiwa kwenye jamii na ambao huwezi wadhania
 
Mimi nina watoto na mama watoto zangu wote wameolewa na wanajitambua , na pia kuna mipaka mikubwa kati yangu na wao .


Japo mambo hayo yapo ila inategemea mtu na mtu.
 
Hakika, ifikie hatua vijana waipende mioyo yao kwanza...
Mahusiano ya kimapenzi kwa sasa yameingiliwa na mdudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…