Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Singo mazazi jamani waliwakosea nini? Kwani walijitomba na kujizalisha wenyewe? Mbona chuki hivi dhidi yao kila siku hapa JF? Tatizo hasa ni nini? 😳
Sio chuki
Tunaeleza uhalisia wa mambo.
Kama vile wanawake wanavyoelezea uhalisia wao kuhusu kukataa wanaume Maskini.
Sio kama wanachuki na wanaume Maskini ila wanazungumzia ukweli wa magumu watakayoyapata wakiwa na wanaume wasio na Pesa.
Vivyohivyo vijana lazima wapewe miongozo