OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tofautisha facts na hisia. Hizi ni facts
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaMkuu we acha tuu na mpaka ukiona huyu jamaa kaweka uzi jua kafanya uchambuzi yakinifu aiseeee
Hahahaaa.... Dah!Nalyaga nkoyi. Aho namalūgūlya nūchima lyanikī lyamadako matale. Nilūmbaga sana.
Gīnehūbebe? Olyaga? Ochimaga?
View attachment 3211207
Wanaume hata tukitamani tunatabia ya kuwaaminisha by any means wanawake kua tunawapenda ili tutimize lengo letu.
Mwanamke akishajua anapendwa hujiachia jambo ambalo humletea matatizo hasa akipata mimba.
[emoji3][emoji3] nakwede bhana haha una maneno bora achepuke kuliko kulea watoto wa mtu mwingine ambae hukuhusika ingali mwenye mtoto alimuacha na kumkimbia (hapa sihusishi wale ambao baba zao walifariki unfortunately kama kwa ajali and alike single maza wa aina hii hawana kosa)Hata usipo oa huyo single Maza , [emoji23][emoji23] kama mwanamke uliyemuoa Hana heshima na adabu atakufedhehesha zaid ya huyo single Maza Nina mashoga zangu walio kwenye ndoa zao na waliolewa vibint bila watoto ila wanachepuka mpaka mim najisikia aibu
Labda uyo mwanamke unayemtaka wewe ambaye Bora zaid ya single mama umuumbe mwenyewe kama robot Ili umcontrol
🤣 Hahaha jamaa umeamua kudhihirisha udhaifu wako ulipo eehHawatakuamini, ndo ukute mumama mweupe anawowowo laini weeee 😁
Kijana utamshauri nini aelewe??
Kwema Wakuu!
Nafahamu Nina rafiki zangu wakike waliosingle mothers.
Ninajua wapo dada zangu wakike single mother
Na ninajua wapo watoto wakike huenda wakawa single mother.
Lakini hii haitanifanya nisiseme Jambo hili.
Kama Una Miaka chini ya arobaini yaani ni kijana. Mimi kama Taikon Master, na Kaka zako wenye Akili, na Baba zako wenye HEKIMA tunakushauri kamwe usifikirie kuoa single mother.
Usioe Single mother hasa ukiwa Kijana chini ya miaka 40.
Huna sababu hata Moja ya maana ya kuoa single mother.
Ni kweli mapenzi ni upofu lakini haimaanishi uwe mpumbavu.
Kuna mambo unatakiwa uyaelewe kuhusu single mother
1. Kama asingekuwa single mother ni hakika asingekuwa na wewe. Hiyo ni hakika
2. Ni hakika kuwa, wewe tayari ni Step Dad, baba wa Kambo. Hakunaga faida hata Moja utakayoipata kwa kuwa step dad. Ukibisha, nenda tafuta mtu mzima unayemheshimu Sana na aliyefanikiwa Sana. Mwenye AKILI. Muulize kuna faida ya kuwa step Dad. Atakupa Majibu.
3. Kijana mdogo unapooa single mother ni dalili ya kutojiamini, kutojitambua na kujidharua. Wakwanza atakayekudharau ni Mamaako aliyekuzaa hata kama naye alikuwa single mother.
Elewa, ikiwa kijana kuoa mwanamke Mkubwa kuliko yeye kwake inaonekana amejidharau sembuse kuoa single mother.
4. Joto la jiwe kutoka kwa single mother utaanza kuliona mkishazoeana
Elewa, mwanamke hata awe hajaenda shule au awe mjinga kiasi gani. Lakini naturally anauwezo wa kukusoma na kukujua ikoje.
Wakati wewe huna hili wala lile unahangaika kumhudumia Mkeo ambaye ni single mother kwa upendo wote yeye Muda huo anautumia kukusoma ulivyo.
Ndani ya Miaka miwili mitatu tayari atakuwa amekujua vilivyo.
Kipindi mkishazoeana na ashakujua ukiwa huna hili wala lile. Ndio ataanza kukumbuka maisha yake ya nyuma. Atakumbuka marafiki zake. Na mwishowe atamkumbuka Yule Mwanaume aliyekuwa anampenda ambaye mara nyingi ndio wanaowazalishaga watoto wa Kwanza.
Hatakumbuka ubaya wake kama alivyokuhadithia wewe.
Hatimaye, kimyakimya anaanzisha mawasiliano ya Siri na mzazi mwenziye bila ya wewe Kujua.
Kumbuka hapa atakuwa Hana Hofu kwa Sababu ni Kama Nyani aliyerudishwa kwenye Pori analolijua.
Kisosholojia, hapo ni Njia anayoirudia anaijua fika kwa Sababu ndio aliyoijia.
Asije akakudanganya hawawasiliani.
Ukitaka kujua Jambo hilo. Tafuta ndugu yako yoyote ambaye alizaa na mwanamke Fulani. Muulize anawasiliana na shemeji. Utapata Majibu.
5. Kumbuka, asilimia tisini wanawake wenye watoto wao ndio huwatafuta wazazi wenza lakini wewe hutojua.
6. Kumbuka asilimia tisini ya single mother huingia kwenye mahusiano mapya kama project ya Kupata sehemu ya kukuza na kuwalea watoto wao. Na sio sababu ya Mapenzi au kujenga Familia.
7. Elewa, hata ufanye nini mtoto wa single mother hatakuja kuwa Wako Maisha.
8. Elewa, utakapogusa maslahi ya mtoto wa single mother utakuwa umejimaliza mwenyewe. Utakuwa umejiingiza kwenye shida.
9. Itakupasa mtoto wa single mother ambaye sio wako awe na furaha ili nawe uwe na furaha.
10. Single mother ukimuoa anakuchukulia kama haukuwa na option nyingine zaidi na uzuri wake ndio uliochangia kukupumbaza. Hivyo atakudharau tuu.
Jambo ambalo ni Kweli Kabisa.
Yaani uache watoto wabichi, vibinti chuchu konzi alafu utegemee single mother uliyemuoa akuheshimu.
Elewa, mwanamke uliyemuoa ni sehemu mambo yanayokujengea heshima kwenye jamii au mahali popote pale.
11. Kuoa single mother kutapelekea watoto wako utakaowazaa wawe wapili , watatu kuendelea kwa mama husika Jambo ambalo litakufanya ukose mzaliwa wa Kwanza.
Elewa, mzaliwa wa Kwanza anatokana na mwanamke kuzaa kwa mara ya Kwanza.
Huwezi mzalisha mwanamke single mother alafu huyo mtoto ukamuita mzaliwa wa Kwanza.
Usiwe wale wanaume mabwege ambao hupumbazwa na Maneno ya Wanawake wakipewa sifa za kijinga.
Mara mwanaume wa kweli lazima atoe Pesa. Na majianaume mabwege hujikuta yakiwa matumwa na misukule ya wanawake.
Mara hudumia tuu mtoto single mother ndio uanaume huo sijui ukipenda boga penda na ua lake. Ubwege bwege tuu. Baba wa mtoto yupo. Mpelekeeni Babaake akamtunze mtoto
Unandugu kibao Maskini, wasaidie hao.
Watoto wa dada au Kaka zako, hizo pesa saidia wazazi wako.
Jijenge mwenyewe au kale Raha na sio uingizwe ujinga ujinga kama lijinga. Unazidiwa akili Mpaka na Wanyama bhana.
Shenzi!
Ngoja nipumzike sasa
Hata ukifika 94 yeye akawa na 23 huruhusiwi kuoa mitumba.Tukifika 40+ ni ruksa? To yeye ningoje ngoje bado krismasi kama 12 ivi
Dah!!
Hili suala limekaa vibaya kweli maana ni ngumu kumeza......
Tatizo vijana wakishaona makalio yanatikisika huwa hawashauriki.....
Mimi nikimuona kijana mbichi kaoa single mother naona kama anajipunja na kujidhurumu.......