Nasisitiza, kijana kama upo chini Miaka 40 usioe Single mother. Hilo huhitaji mjadala

mimi single mother nitamuoa kama anakidhi hivi vigezo

mrefu,awe na kazi ya kueleweka awe na mshahara minimum 2.5m salary
Hapo ongeza.. Huyo mwanaume aliyemzalisha awe alishakufwa tena ikiwezekana ujue lilipo kaburi lake na upate uthibitisho wa video ya msiba na cheti cha kifo pia uthibitisho wa serikali za mitaa kwamba kweli jamaa alikufaga na uhakikishe kaburi lake limejengwa vizuri kwa zege ili lisije kubomoka!
 
Simba mwenyew akipata jike akalikuta nawatoto wabwana mwingine au mimba nikuwaua tu, cjui tunafel wap
 
Mtoa mada ulishawahi kuoa single Maza au unasikiaga stori za mtaani tu.
 
Kama ni mhindi(maize) umeupukuchua wote umebakiza bunzi(gunzi) tuu.

Una kiona mbali kinachoweza kuwasaidia vijana wengi wapumbaf wasiojitambua wala kutambua wajibu wao wa kiume, wapendavitonga.

Lakini ushauri huu konki wataufuata basi?

Wee fikiria wapo vijana wenye title ya ving'ast, mkuu unawajua ving'ast?

Wa kuoa single mother kajitutumua, je anayelelewa, mkuu unajua kulelewa?

Wapumbaf wote hao wengine wametoka katika familia strong zina baba na mama walio hai!
 
Single mother hakupendi, anataka tu mchango wako wa kifedha na ubaba kwenye malezi ya mtoto wake. Mtoto akiwa mkubwa na kuanza kujitegemea single mother atakua wa kwanza kumwambia wewe sio baba ake(hapa anamuandaa mtoto kisaikolojia ili yeye ndie anufaike zaidi na matunda ya mtoto)

Single mother hakupendi, ana trauma za kuachwa na mzazi mwenzie kwaiyo anataka kumthibitishia kwamba ame-move on. Maumivu ya moyo yakipona kupasha kipolo ni suala la right time and right place tu
 
Feminist wamewadanganya kwamba mwanamke ana uhuru kama wa mwanaume, wamewadanganya kwamba usingle mother ndio ustrong woman. Hawajawaambia ukweli kwamba katika dating pool kiasili mwanamke ni victim.

Mwanamke ni victim kiasili yaani nature inambana na mwanaume ni victim kimfumo yaani sheria za masuala ya mahusiano zinambana. Advantage aliyonayo mwanaume ni kwamba akiweza kuu-oitsmart mfumo anabaki salama.

Tatizo linakuja kwa mwanamke ambae hawezi kui-outsmart nature, ajikute feminist, mwanaharakati, strong woman na upumbavu mwingine lakini mwisho wa yote ili abaki salama anatakiwa kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi kulingana na nature inavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…