Nasisitiza, kijana kama upo chini Miaka 40 usioe Single mother. Hilo huhitaji mjadala


Mkuu VIJANA lazima waambiwe Ukweli
Wenyewe wataamua chakufanya
 
Niliachana na mke wangu 50 + na sikuoa single Mama, haifai, nilichukua katoto ka 27 mpaka sasa nakaelwa tu miaka 7 baadae
 
Haka ni kamtazamo kako na kamejaa ufinyu wa kufikiri hakawezi kuwa universal law.
 
Ume-generalize , as if single mothers are criminals, Hawa ni best women to marry due to their past experience
 
Ume-generalize , as if single mothers are criminals, Hawa ni best women to marry due to their past experience

Kuna mambo wanaume wengi hawayaelewi kuhusu Wanawake.
Ikiwa mwanamke tuu asiye na mtoto kumwoa na Kuishi naye ni kasheshe sembuse mwanamke mwenye mtoto asiyewako?

Nenda kwa Mama, mama zako Wakubwa na wadogo, shangazi zako, Bibi zako, kachukue Maoni Yao kuhusu wewe kuoa single mother wao watakuambia Ukweli wote.

Sisi wa huku mitandaoni tunaweza kukuchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…