Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

Kwanini Lissu kaolewa ubelgiji?

Tupunguze siasa za majitaka hata Kama ni vyama tofauti. Tusifike kwenye kutukanana na kichafuana haitasaidia. Unamtukana Lissu kisa Nini. Lissu hayupo Tanzania Wala sio kiongozi.
 
Nimeshawaeleza watu humu tangia Jana kuwa CCM ndio iliyounda serikali hivyo Ina haki na inafanya kazi ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi, upinzani usitake kuleta chokochoko zake maana ilikataliwa kwenye uchaguzi mkuu uliiopita,

hivyo isubiri uchaguzi ukifika ikaombe Ridhaa ya wananchi , japo Ni ngumu Sana kwa upinzani kupata kura maana wananchi na watanzania walishawapuuza kwa Sasa kutokana na kukosa Sera na ajenda za kueleweka kwa wananchi

Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi, kwanini upangie vyama vingine kujieneza kwa miezi miwili tu kwa miaka mitano?. Kama ni hivyo basi ccm iruhusiwe kuwa chama pekee vingine vifutwe.

Maana hata ikifika kipindi Cha uchaguzi ni Yale Yale hakuna jipya.
 
Kama Taifa,kitendo Cha kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani ni uoga na unyama uliopitiliza.
Rais wetu alitazame hili nalo.
Naamini hata yeye halimpendezi.
 
Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi, kwanini upangie vyama vingine kujieneza kwa miezi miwili tu kwa miaka mitano?. Kama ni hivyo basi ccm iruhusiwe kuwa chama pekee vingine vifutwe.

Maana hata ikifika kipindi Cha uchaguzi ni Yale Yale hakuna jipya.
Vitajifuta vyenyewe kwa kukosa Sera na ajenda Kama Sasa, kwani Marekani umesikia wanapiga makerere uchaguzi ukipita? Huu Ni muda wa kazi kwa chama kilichopewaa kura,
 
Back
Top Bottom