Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Alokudanganya kwamba usipotoa tunda utaolewa ni mjinga, kutoa tunda na kutolewa ni vitu viwili tofaut. Mpe jamaa ale lakini mwambie swala la ndoa kwanza uone muelekeo wale
 
Daaah ngumu hiyo
 
Alokudanganya kwamba usipotoa tunda utaolewa ni mjinga, kutoa tunda na kutolewa ni vitu viwili tofaut. Mpe jamaa ale lakini mwambie swala la ndoa kwanza uone muelekeo wale

Kwa kuongea analiongelea shida ni kuwa inaweza kuwa ni njia ya kutaka kunipata tu
 
Usimkaribishe nyumbani kwako Na msionane sehemu za faragha kutaneni mazingira yenye watu msikutane mazingira YA kukaa wawili usiingie room YA hoteli au lodge atakapofikia
 
Daaah ngumu hiyo
Itaota kutu hiyo na usipate mwanaume atayeelewa msimamo wako.

Ungekuwa bikra hapo sawa ungeweza kuendeleza msimamo wako.

Kama unajiamini wewe ni wife material utaolewa tu haijalishi umeliwa au la.
Inaonyesha hujiamini kwenye mambo mengine.
 
Siyo sijiamini dear mambo yamebadilika siku hizi mtu anakudanganya anakupendaa kumbe ana upwiru akipiga anapita hivi sasa ndugu nitatifuliwatifuliwa na kila mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…