Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi
Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu
Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda
Sasa ni hivi anakuja huku nilipo Kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwaajili yangu
Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa Sina uhakika Kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki
Yaani nasubirii awe mume ndio niMpe tunda
Ushaurii tafadhar namna ya kumkacha