Daaaaaaah great thinker jamii forum wameisha, ila wamebaki waimba pambio na ngojera, afu watunzi wenyewe walishakufa.Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Hawa wote wangetumbuliwa hapo hapo, na hata pengine kuwekwa ndani na kufunguliwa mashtaka ya kubambikiziwa.Polisi wa Tanzania wafanye haya kwa ndugu wa Mwangosi ndo mje na porojo kama hizi. Mbona hatukuwasikia mkilaani mauaji ya Mwandishi asiye na hatia?View attachment 1464900
Mamtu ya CCM bwana hao mnaowaita mabeberu wakiwapa misaada mnawaita wadau wa maendeleo wakiwachana kuhusu ujinga mnaoufanya mnawaita mabeberuChadema wakiona muzungu meno yote nje
Sijui Mabeberu yaliwapa nini
Woga unakusumbua ww usikia ccm unalialia tuUzuei kuna ignore list ww nilikusahau ngoja nikakuweke kwenye dustbin
wi kimeshakufa hiko chama au?mbona hujaulizia wanaharakati wa nnccr,cuf na tlp?Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Kwani Zitto ameshatoa tamko AU andiko kuhusu hilo?Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Sasa Kama hujakubaliana na hoja yake ilikuwa haina haja ya kuwa mjinga kucomment pili ukitaka kumu ignore mtu ni uamuzi wako tu Sasa ukiifanya ya watu wote hujioni kuwa Ni usmall thinker wako unaonekanaCcm wameshatoa?
Nilidhani utani kumbe kweli unapaswa kuwa "ignored"
Dear members pease "ignore" jingalao
Kwani CCM wanaoongoza nchi wameshalaani?Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Huwezi kuwaacha watu wafakamie sumu eti kwa sababu ni hiyari ya moyo wao.Sasa Kama hujakubaliana na hoja yake ilikuwa haina haja ya kuwa mjinga kucomment pili ukitaka kumu ignore mtu ni uamuzi wako tu Sasa ukiifanya ya watu wote hujioni kuwa Ni usmall thinker wako unaonekana
Huo ndio udumavu wa hoja zako hupendi itikadi yake achana nae ukiwa msemaji wa jf itakuwa ni kituko sasa,tukisema watu kama wewe ndio mnao haribu jf sikosei Soma kauli mbiu ya jf Ni nini halafu urudi zako FBHuwezi kuwaacha watu wafakamie sumu eti kwa sababu ni hiyari ya moyo wao.
Kumjibu na kutokumjibu vina uzito sawa. Nimechagua kumjibu ili niwakurupushe wapumbavu kutoka mafichoni. Na kweli wamejitokeza.
Wito wangu ni ule ule jingalao apuuzwe.
Narudia tena kwa maneno tofauti:-Huo ndio udumavu wa hoja zako hupendi itikadi yake achana nae ukiwa msemaji wa jf itakuwa ni kituko sasa,tukisema watu kama wewe ndio mnao haribu jf sikosei Soma kauli mbiu ya jf Ni nini halafu urudi zako FB
Tunamsubiri Mbowe aongee na Taifa kuhusu kifo cha George Floyd maana na yeye siku hizi kajipa ukuu eti ataongea na Taifa. Vipi na yule Shoga wa Ubeligiji hana taarifa za mauaji kule Marekani?Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia