Daaaaaaah great thinker jamii forum wameisha, ila wamebaki waimba pambio na ngojera, afu watunzi wenyewe walishakufa.Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Hivi kabla ujaandika ulifikiria nini?