Nasumbulia na tatizo la nguvu za kiume naomba msaada

Umejikondition vibaya sana,kukutibu wewe ni changamoto
Tiba ya kwanza ni kuamua kuacha kabisa matumizi ya huo mkongo,then ndiyo utumie dawa ya kuimarisha misuli yako vizuri
 
Joseph midimu
 
Dawa kanunue manemane Duka la dawa za asili, loweka kwenye maji kunywa asubuhi au jioni na tatizo linakwisha.
 

Attachments

  • Screenshot_20240930-064942_WhatsAppBusiness.png
    698.2 KB · Views: 24
Suala la nguvu za kiume ni tatizo la mfumo wa mwili,shida ni pale mtu anataka kupona siku tatu! Wanaosikiliza ushauri na kuzingatia tiba kwa maekekezo wanapona kabisa ila wachache wanaotaka atumie tiba siku ya tatu tu eti aalike demu wake gheto hao ndiyo wanabaki kutapatapa tu bila kupona.
 
NISAIDIE SASA,,DAWA.
Kuna mhindi anatangaza dawa za asili yuko pale kariakoo na mikoa 13 ntakurushia namba huku ana dawa inaitwa ujana ila ukinywa akikisha ukimaliza uwe na demu karibu unaweza baka

Kingine achana na mkongo unaharibu mishipa

2.wska mind zako kwamba unaweza kumbato bila mkongo hii muhimu sana
Pia usipige puñyetoooo

3 hii n kwa 💯
Chukua
Maji ktr moja
Weka mdalasini
Limao
Binzari njano
Vitunguusaumu
Ginger za kutosha

Chemsha hii kama juice yako kunywa asbh na jion nusu saa kabla ya mechi kila siku

2.chukua

Tango
Limaoo
Chungwa kama lipo
Karanga mbichi
Almond
Sagaaaaaaaaa
Ukimaliza weka maji ktr 1 ya uvuguvguu
Ukimaliza weka asali vijiko viwili
Kunywa kama juice yako mwezi
Njoo uniambie mrejeshoooo.....

Else kama unataka kuongeza urefu chukua vaseline og chemsha
Chukua limao miminia baada ya kuchemsha
Chukua tango ulilosaga changanya
Ikiwa ya moto paka ilekitu tokea nuuma kwenda amble wiki 3 njoo nipe mrejesho

All n all mwamini Mungu anaweza na atafanya

Dk Pdidytz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…