Nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri, hamna dawa ambayo sijatumia

Siku mbili wakati watu wanakimbiza wiki kipimo ni pua, isipotoa harufu kanyaga twende mpaka ivunjike kama kuni
 
Suala la matibabu especially fungus Lina wigo mpana kwasababu unaweza andikiwa dawa na ukameza au kupaka na hauwezi kupona bila kugundua chanzo cha tatizo husika mfano.....

Unaweza kuwa unatumia dawa vizuri kabisa lakini still uko exposed kwenye mazingira yanayoleta tatizo mfano uvaaji wa nguo za ndani zenye lastick(mpira) ambazo mara nyingi zinazalisha joto na unyevu unyevu hivyo kupelekea ukuaji au muendelezo wa fungusi..... Uvaaji wa nguo za ndani mbichi, wale Wanaume wanaovaa nguo nane ndani ya suruali...., Usafi binafsi zero

Ili uweze kupona tatizo,
1. Epuka mazingira yote yanayofanya kujitokeza au kusababisha fungusi ( uvaaji wa nguo mbichi, nguo za mipira, kutokuwa nadhifu nikiwa na maana ya usafi binafsi)

2. Tumia nguo jamii ya cotton hasa za ndani, katika kipindi utakachokuwa kwenye matibabu inapofika wakati wa usiku epuka kuvaa nguo za ndani maana tunaamini usiku ni mrefu zaidi kuliko mchana hata namna ya uponyaji inakuwa iko haraka zaidi

3. Tafuta Whitefield paka mara mbili kwa siku na zingatia kila inapofika usiku hakikisha usivae manguo mengi hasa za ndani, pia tumia na fluconazole 100mg OD X14DAYS

Nakutakia uponyaji mwema

[emoji2398] Balvejmumt
 
Umeua
 
Hili nalo la msingi
Hakuna uhusiano wa ukimwi na Fungus, naumwa Fungusi pia nikitumia dawa napona nikiacha zinarudi na napima ukimwi kila siku nikila mbususu bila ndom na sina ukimwi hakuna uhusiano hata kidogo wa upuuzi mnaoandika.
 
Dawa(vidonge) vitakusaidia, nilikuwa na Tatizo kama hili, Nilienda Hospital ya St. BENEDICTO NDANDA HOSPITAL
 
Hili ndo jibu la mgonjwa na atapona kwa asilimia zote sababu iliyosababisha kwangu fangasi ni hiyo namba moja nilikuwa navaa chupi mbichi, nilikuwa naficha ndio imenifikisha hapa na nilikuwa navaa chupi sio za coton huu ushauri nimeuchukua mimi nikipaka tubes napona kabisa ila boxer moja navaa mwezi ndo tatizo langu sio kama sina boxer nyingi ila uvivu wa kufua hope nitabadili tabia.
 
Mleta mada ingia pm yako nimekuelekwza dawa na jinsi ya kutumia
Toa elimu hapa mbona mnapenda ubinafsi?wote wangemfata PM nani angejifunza? Kuna dawa nimenifunza kupitia michango ya watu ningepataje kama wote wange Mfuata PM
 
Toa elimu hapa mbona mnapenda ubinafsi?wote wangemfata PM nani angejifunza? Kuna dawa nimenifunza kupitia michango ya watu ningepataje kama wote wange Mfuata PM
Mkuu tatizo sio dawa tu Kuna maelekezo binafsi.kama Ni dawa ndugu yangu mbona NIMEANDIKA hapo juu.Chukua majani ya MUAROBAINI Pori Yatwange vizuri chuja maji yake changanya na Mafuta ya Nazi halisi,Alovera Utomvu. Kisha pakaa sehemu iliyoathirika. Lakini Kuna maelekezo hata wewe nitakupa PM naogopa ban.
 
Na me pia naomba un pm kiongozi

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ipi post
Ipo post ya nyuma yenye tittle ' ifahamu pumbu erosion' utapata msaada hapo! Pole!
 
Dawa yake ni usafi tu usirudie nguo ya ndani vaa mara moja na
 
Routine yako ya usafi ikoje?

unatumia tissue kuwa mkavu muda wote?
 
Oh no! Kitunguu swaum upake kwenye pumbu erosion, i see humpendi huyo unayemshauri! Mwambie ajirekodu video akigusa tu na kitunguu swaum chake kilichopondwa kwenye pumb😂😂😂!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…