KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Watu wachafu kama niniHili ndo jibu la mgonjwa na atapona kwa asilimia zote sababu iliyosababisha kwangu fangasi ni hiyo namba moja nilikua navaa chupi mbichi nilikua naficha ndo imenifikisha hapa na nilikua na vaa chupi sio za coton huu ushauri nimeuchukua mimi nikipaka tubes napona kabisa ila boxer moja navaa mwezi ndo tatizo langu sio kama sina boxer nyingi ila uvivu wa kufua hope ntabadiri tabia
Nisaidie mkuu hii inatuhusu wengiMkuu tatizo sio dawa tu Kuna maelekezo binafsi.kama Ni dawa ndugu yangu mbona NIMEANDIKA hapo juu.Chukua majani ya MUAROBAINI Pori Yatwange vizuri chuja maji yake changanya na Mafuta ya Nazi halisi,Alovera Utomvu Kisha pakaa sehemu iliyo athirika.Lakini Kuna maelekezo hata wewe nitakupa PM naogopa ban
Na kujikausha akimaliza kujisaidiaUsafi wa nguo za ndani.
Kujikausha baada ya kuoga.
Kunyosha nguo na pasi.
Kama kuna mwenza naye afuate muongozo pamoja na mdau.
Wakati huo atumie dawa ulizo shauri.
Issue ukiwa na machupi mengi uvivu kufua hatujaoa mkuu ila ni tiba tosha mi nikibadiri boxer fungus wanapoteaDawa yake ni usafi tu usirudie nguo ya ndani vaa mara moja na
Mi navaa mwezi mkuu kununua machupi mengi kufua uvivuWatu wachafu kama nini
Boxer moja mwezi hufui una pepo?.
Afu ukute mtu anakuja anasema amezunguka hospitali zote hehe
Mtazunguka sana
Hii ipoje mkuu nilitaka kujaribuOh no! Kitunguu swaum upake kwenye pumbu erosion, i see humpendi huyo unayemshauri! Mwambie ajirekodu video akigusa tu na kitunguu swaum chake kilichopondwa kwenye pumb[emoji23][emoji23][emoji23]!
HAKUNA Shaka mkuu.nimesha ku pmNisaidie mkuu hii inatuhusu wengi
USIPAKE KITUNGU SWAUMU UTAKUWA KAMA UMEUNGUA NA MOTO.ACHAHii ipoje mkuu nilitaka kujaribu
Naona mnatupiana madongo kumbe wamoja hahahahahMkuu siyo Mimi.Mi nimchangiaji mwenzako tu
Hata Kama unayo Moja Ina bidi ifuliwe kila siku hata usiku kwa maji Moto mkuu no fungus maisha yoteeeeMi navaa mwezi mkuu kununua machupi mengi kufua uvivu
Jamaa hakuwa ame elewa alihisi Mimi ndo mleta mada kumbe kabugiNaona mnatupiana madongo kumbe wamoja hahahahah
Weeee ataoza pyumbu usimtafutie ulemavu wa hiyo habari.Chukua vitunguu swaum menya punje sita kisha twanga.. alafu changanya kweny maji ya lita moja afu kunywa.. twice per day.. pia kams utaweza kuvumia paka ivo vitunguu ulivyotwanga kweny effected area.. one week unipe mrejesho
Sawa babaMi navaa mwezi mkuu kununua machupi mengi kufua uvivu
Chupi moja si tatizo wallahyHata Kama unayo Moja Ina bidi ifuliwe kila siku hata usiku kwa maji Moto mkuu no fungus maisha yoteeee
Sawa baba
Endelea kuoza huko chini
Ndo maana nikasema kama ataweza kuvumilia sawa. Asipoweza anywe tu ivo vitunguu ni dawa nzur sana..Weeee ataoza pyumbu usimtafutie ulemavu wa hiyo habari.
HIZI DAWA ZA KWENYE HU TUBE hizi mtaumiza watu bureeee
Asante mkuuu ntakuja na mrejeshoHata Kama unayo Moja Ina bidi ifuliwe kila siku hata usiku kwa maji Moto mkuu no fungus maisha yoteeee
Yan kila siku na nunua tubes za kupaka nisipopaka hata kujiangalia naogopaSawa baba
Endelea kuoza huko chini
Unastahili unachouguaYan kila siku na nunua tubes za kupaka nisipopaka hata kujiangalia naogopa