Nasumbuliwa na Jinamizi hili kila nikilala naomba Msaaada na Ushauri

Mkuu i feel your pain!! Ningependa kufahamu uko mkoa gani ili tuone tunakusaidiaje.
 
Habari za Jioni wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.
Naomba ushauri kwa hili suala la kusumbuliwa na majinamizi haya wakati napokuwa nalala iwe mchana ,asubuhi au usiku.
Japokuwa hii hali huwa haitokei kila siku ila haipiti mwezi au wiki mbili ikajirudia.

Nakuwa nakabwa na Kinataka kuniingilia kinyume cha maumbile. Na nikiamka nasikia kma kuna mtu kanifanyia kitu kinyume na maumbile..Inauma Sana!

Hii hali nimepambana nayo sana sio kwa Waganga ama kwa watuimshi mbalimbali kuombewa.Ila mpaka sasa bado sijapata ufumbuzi.
Hali hii inanipa stress mpaka kuna kipindi natamani kujidhuru niondoke dunia hii,

Inaniumiza sana. Nifanyaje halii hii iishe,
Jitahidi kusali kabla ya kulala
 
Umenikumbusha jamaa yangu aliwahi kukumbwa na kitu cha aina nae ilikuwa zaidi maana muda wote anaweza kuingiliwa bila kujali yupo sehemu gani na mazingira yapi..
Tushukuru Mungu baadae alipata suruhisho japo sijui aliponaje, alipitia kipindi kigumu sana chuo alisoma miaka saba badala ya minne..
 
Inaumiza sana kisaikolijia. Inatesa SANA!!!
 
Back
Top Bottom