MR. IBU
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,380
- 2,965
"Walimwengu" hawa watu nihatali sana..Pole mkuu.
Majibu ya hapa 98% yatakuwa yakimasihara utajiongezea matatizo mengine bure.
Duniani kuna ujinga mwingi sana.kuna wajinga wachache wanapenda ujinga na wanaendeleza ujinga.
Usichoke kutafuta jibu pambana watakufelisha hao wajinga...