uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
umewahi kula mke wa mtu?labda jamaa kaku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama unatangaza biashara vile.Habari za Jioni wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28...
Pole mkuu. Na nikiamka nasikia kama kuna mtu kanifanyia kitu kinyume na maumbile..Inauma Sana!
HahahaPangechimbika na nani sasa mkuu wakati ngoma ukiamka tu unakuta shughuli imeisha!!?.
Nimeishi mikoa zaidi ya mitano na hii hali haiindoki. Hata nikilala Hotelini. Imagine hata nikiwa nimelala na girlfriend!!!Ushawahi kaa mbali na mkoa wako? Je hiyo hali ilikuwepo? kuna kipindi nilikuwa naota sana mama mtu mzima anakuja kunilazimisha nimlale.....iliikuwa kama series ya ndoto yani nikiwa ndotoni naota nipo ndotoni nimelala mara dirishani anapita ananitoa boxer anakaa kwajuu,......siku nyingine nilikuwa nakaza naona maana nikiwa maota anaingia dirishani nashtuka ghafla...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tafuta pesa wewe! Kinachokusumbua Ni umaskini nothing more
Mwamoni YesuNimejitahidi sana kwenda mkuu. Inaniumiza sana kwa kweli,
Nishasikia nadharia hii. Kwa sie ambao tushaishi vijijini hili tunalielewa vizuri uchawi upo na vijana wengi tu wanashiliki huu upuuzi. Huwa ni mwanzo mtu anatamanishwa kuingia ktk uchawi kupitia mapenzi so km ni kijiji atakimaliza, sasa ikitokea amehamia mjini na kukutana na wewe imani dhaifu kazi utakua nayo.Unavyolala chali, regardless ni mchana au usiku halafu hali hiyo ikatokea ni jambo la kawaida, sayansi inaliezea vizuri tu, hata mimi limenitokea mara nyingi mno, mchana au usiku...
Mmh jini nalo linapenda kwa mpalange....balaa!!!
Pole sana.
Hiyo hali ndio ikufanye kuhisi unatinduliwa?Unavyolala chali, regardless ni mchana au usiku halafu hali hiyo ikatokea ni jambo la kawaida, sayansi inaliezea vizuri tu, hata mimi limenitokea mara nyingi mno, mchana au usiku...
Jini msela mavi.Mmh jini nalo linapenda kwa mpalange....balaa!!!
Pole sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] daaaaahJini msela mavi.
Lala na bibleHabari za Jioni wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.
Naomba ushauri kwa hili suala la kusumbuliwa na majinamizi haya wakati napokuwa nalala iwe mchana ,asubuhi au usiku.
Japokuwa hii hali huwa haitokei kila siku ila haipiti mwezi au wiki mbili ikajirudia.
Nakuwa nakabwa na Kinataka kuniingilia kinyume cha maumbile. Na nikiamka nasikia kama kuna mtu kanifanyia kitu kinyume na maumbile..Inauma Sana!
Hii hali nimepambana nayo sana sio kwa Waganga ama kwa watumishi mbalimbali kuombewa.Ila mpaka sasa bado sijapata ufumbuzi.
Hali hii inanipa stress mpaka kuna kipindi natamani kujidhuru niondoke dunia hii.
Inaniumiza sana. Nifanyaje halii hii iishe.
Edit kutokana na maoni na comments za wadau::>
Hali hii inasimbua tangu sijamaliza hata chuo , zaidi ya mwaka wa Saba.
Kipato changu ni kizuri na najimudu vizuri na kuishi maisha mazuri tu.
Hali hii pia huwa inanitokea hata nikiwa nimelala na mwanamke wangu.
Mkuu,hiyo hali haihusiani na hilo jambo ulilolitaja,Hiyo hali ndio ikufanye kuhisi unatinduliwa?