Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Watu smart utawajua tu........ This is a smart comment. Umeelezea vema sana. Exactly nilichomwambia chini kule.....Pole sana mkuu,kila mtu ana hofu na kitu fulani,may be nyoka,etc inaelekea your worst fear ni kuingiliwa kinyume na maumbile..hizi anxious thoughts ndio zina play up with your mind..sijajua kwa nini una mawazo hayo,je ushawahi kubakwa? kushuhudia mtu( mwanaume akibakwa?) au ni story tu za kuingiliwa kinyume na maumbile umeziamini kwa kuwa zimekuwa reinforced kwenye brain yako mara kwa mara mpaka umefikia kuziamini?.... kama walivyotangulia kukwambia fanya mazoezi to improve quality of sleep au tumia dawa za usingizi kwa kipindi ...ukilala vizuri bila kuwa na hizo ndoto itakujengea confidence kuwa hamna kitu kama jinamizi, and slowly with time hii confidence ndio itaendelea kupunguza mawazo na imani juu ya jinamizi....again pole sana mkuu
Aidha anafikra za hofu ya kuingiliwa kinyume na maumbile akili yake inakuwa inamvuta kuwa ajaribu na nafsi yake haitaki, au basi inawezekana kuna tukio au matukio yalimkuta utotoni na yaliregister kichwani mwake kama kumbukumbu ya utotoni.
Na sasa hiyo kumbukumbu inamrejea na yeye kichwa kinakazana kumuuliza kuwa anakumbuka tukio fulani la utotoni sasa nafsi inakataa kushiriki ndio maana akili inamkazia inamletea katika sura ya illusion.