Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,394
- 21,391
Kwa wapare na wachaga sadaka itakuwa ndiyo changamoto!
www.mwananchi.co.tz
BTW: Hapo Zanzibar Packers yeye mwenyewe Apostle yupo full time 24/7 kuwa gofu labda asiwe hai au yatokee ya Gwajima.
Askofu Kimario aishusha hadhi Parokia ya Ugweno, sababu yatajwa
Jimbo Katoliki la Same limeishusha hadhi Parokia ya Ugweno iliyopo Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro kuwa kigango kwa madai waumini wake wameshindwa kuonyesha ushirikiano kwa Paroko wa kanisa...
BTW: Hapo Zanzibar Packers yeye mwenyewe Apostle yupo full time 24/7 kuwa gofu labda asiwe hai au yatokee ya Gwajima.