NATABIRI: Hema la Mwamposa la Dar (Kawe) litageuka kuwa gofu kama lile hema lake kule Moshi (Memorial)

NATABIRI: Hema la Mwamposa la Dar (Kawe) litageuka kuwa gofu kama lile hema lake kule Moshi (Memorial)

Huyu dogo alikuwa smart Sana sijui anapitia nini kwa sasa
Mwana Katerero una hangaika sana, ndio nafika home after a nice weekend ambayo huwezi ipata.

jf ni sehemu ya Mimi ku mind my own shit, enjoying my day na ku interact na Jamaa wa hapa na pale.

ULiza wanao nijua personal, you ain't coming close hata niki acha issue zangu leo hii.
so stop trying to seek validation huku, hakuna certification ya you're great, you were great or you will be great.
 
You capping fool, hebu taja I'd niliyo fungua kudadadeki au mtu asipo kuwepo ndio una pata nguvu ya kufumbua mdomo 🤔.

Bro Kuna laki ya chap, hebu prove kuwa nina I'd zaidi ya hii, uki shindwa wewe ni nshomile tu mbugia konga.

wanangu kina Razorblade, Selikavu, adriz hebu nisaidieni hizi I'd ninazo ambiwa nafungua
Watu washakariri maisha😃😃😃
 
Ukiwa na mashaka mashaka/Wasiwasi,
Kisha ukaanza kuhoji kwa nguvu,
Imani inatoweka,
Unakuwa huru.

Na hapo ndio Moja ya mtego Mkubwa wa Imani, Hutakiwi kuhoji na kuomba majawabu ya kweli yaliyonyooka.

Hawa mafaith Healer's, Huwa wanasukumwa navitu vitatu vikubwa Kupata Fedha, Umaarufu, nguvu/Mamlaka.

Faithhealers wanatumia matatizo/changamoto za watu(Afya, kazi, Mahusiano, Mali/Uchumi,Mashaka,) Kujipatia Umaarufu, nguvu/Mamlaka na Fedha.

Na Nchi zetu za kuitwa duniani ya tatu tuna Hali ngumu sana Wengi wetu,Hali Kila nyanja ya Maisha, ni fursa kwao wanapita humo humo kujiinua wakitumia mbinu mbali mbali.

Wanawasadia kwa namna fulani Serikali zimezoshindwa kuboresha hali ya raia wake, serikali haipewi Tena mashinikizo makubwaa na Wafuasi wa faithhealers, shinikizo anapewa Mungu atie baraka, na ndugu yake shetani Kulaumiwa. Bila kusahau muamini pia akipewa zigo la kujilaumu/kujiona anahatia.

B. Mwamposa ni Faithhealer, anadai anauwezo wa kuondoa shidaa nyingi kama si zote za binadamu. Ambao ni ujanja ujanja tu,

Na Wakati mwingine ukitaka kufahamu Hali za raia watanzania kwa undani, maaanake faithhealers huwa wanaminiwa sana, hivyo raia hutoa kila taarifaa Juu ya Maisha yao, Tazama Arise & shine Television.

Huwa natazama television yake, Hali za Watu ni ngumu mno, na ni Hali ambayo mifumo ya Serikali na Sekta nyingi, sera za uongozi zingeliweza kupunguza kwa kiasi kikubwa sana.

Mwamposa ni Faithhealer, na anatamba na kutembea kifua mbele Kama kapigwa ngumi ya mgongo,.

Dini(Mungu & Miungu)ni matengenezo ya binadamu.
 
Back
Top Bottom