Kwingine kote safi ila hapa ndipo unapokosea sheikh.Lakini kwa sababu, wachaga wengi ni wajanja wajanja na wezi wakubwa wakamshtukia mapema
Wachaga hawa walioporwa Chadema yao na kukimbilia Chaumma? 😂😂😂✔️Wangebaki pale pale Moshi tena angetanua eneo si ana pesa...hakuna mchaga mjinga.
Amen mwana wa Mungu wa kweli umenena mwisho wa utapeli utafika tuNi suala la muda tu, natabiri hema lake jipya hapo Kawe (Tanganyika Packers) litakosa waumini, kupwaya na taratibu kugeuka kuwa gofu.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Hamuoni hilo wakati mnaenda kupiga Domo watu wakatwe Vichwa ndio mlipoishia mwenzenu anapiga hela analala hiviWAISLAMU TUKO WAPI ?MWAMPOSA ANAPEWA FEDHA HUKO HAZINA SISI TUPO KIMYA?MASHEHE WOTE HATUONI HILI?
Kwanini mkuu?Mkoa wa kilimanjaro makanisa ya kilokole wanapata wakati mgumu japokua wakristo ni wengi sana
Naunga mkono hoja. Sababu nyingine ni kwamba kajitia laana na mikosi kwa kumuombea yule bibi muuaji, mtekaji aliyejaa damu za watu wasio na hatia.Kwa kuwa anachokifanya Mwamposa kidini kimekaa kitapeli mnoo, ujanja ujanja na wizi wizi, uendelevu wake sio wa uhakika, maana kadri muda unavyokwenda mbele, vichwa vya waumini wasaka mafanikio ya chap chap vitazidi kufunguka na wengi kusepa taratibu na wakati huo huo washindani wake wakizidi kumporomoa.
Hayapati sadaka watu wa ule mkoa ni wagumu sana kutoa fedhaKwanini mkuu?
I agree. Utoto mwingiwewe nae una matatizo ya akili
Lazima jiuliza mtu anatumia B 15 je atazirudishaje? Maana lazima zirudi lakini je ni kweli ni B 15 , ??Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania.
Kumbukumbu zinaonyesha, miaka kadhaa nyuma, Boniface Mwamposa aliwahi kusimika hema kubwa kiasi katika viwanja vya King George Memorial (lililopo soko kubwa lisilo rasmi sana la Mitumba mjini Moshi) ili kuwapata waumini ambao ni wateja na wauzaji wa mitumba mjini Moshi. Lakini kwa sababu, wachaga wengi ni wajanja wajanja na wezi wakubwa wakamshtukia mapema na mwitikio taratibu ukapungua mpaka kukosa kabisa waumini na Mwamposa kuamua kulitelekeza mazima na kutimkia zake Dar mahali alipo sasa.
Lile hema la Moshi, liligeuka kuwa pagale, likajaa majani, uchafu, kichaka cha wanyama wadogo kujifichia, 'watu kujisitiri' na huenda shughuli zingine haramu kufanyika faster faster nyakati za usiku
Kwa kuwa anachokifanya Mwamposa kidini kimekaa kitapeli mnoo, ujanja ujanja na wizi wizi, uendelevu wake sio wa uhakika, maana kadri muda unavyokwenda mbele, vichwa vya waumini wasaka mafanikio ya chap chap vitazidi kufunguka na wengi kusepa taratibu na wakati huo huo washindani wake wakizidi kumporomoa.
Ni suala la muda tu, natabiri hema lake jipya hapo Kawe (Tanganyika Packers) litakosa waumini, kupwaya na taratibu kugeuka kuwa gofu.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunaomba Picha ya hilo Gofu la Moshi kutoka Maktaba ili tutunze kumbukumbuWangebaki pale pale Moshi tena angetanua eneo si ana pesa...hakuna mchaga mjinga.
Atajua mwenyewe atakapozitoa si ng'ombe wa kuwakamua wapoLazima jiuliza mtu anatumia B 15 je atazirudishaje? Maana lazima zirudi lakini je ni kweli ni B 15 , ??
100%Kanisa ni moja tu katoliki takatifu na la mitume
Mkuu,Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania.
Kumbukumbu zinaonyesha, miaka kadhaa nyuma, Boniface Mwamposa aliwahi kusimika hema kubwa kiasi katika viwanja vya King George Memorial (lililopo soko kubwa lisilo rasmi sana la Mitumba mjini Moshi) ili kuwapata waumini ambao ni wateja na wauzaji wa mitumba mjini Moshi. Lakini kwa sababu, wachaga wengi ni wajanja wajanja na wezi wakubwa wakamshtukia mapema na mwitikio taratibu ukapungua mpaka kukosa kabisa waumini na Mwamposa kuamua kulitelekeza mazima na kutimkia zake Dar mahali alipo sasa.
Lile hema la Moshi, liligeuka kuwa pagale, likajaa majani, uchafu, kichaka cha wanyama wadogo kujifichia, 'watu kujisitiri' na huenda shughuli zingine haramu kufanyika faster faster nyakati za usiku
Kwa kuwa anachokifanya Mwamposa kidini kimekaa kitapeli mnoo, ujanja ujanja na wizi wizi, uendelevu wake sio wa uhakika, maana kadri muda unavyokwenda mbele, vichwa vya waumini wasaka mafanikio ya chap chap vitazidi kufunguka na wengi kusepa taratibu na wakati huo huo washindani wake wakizidi kumporomoa.
Ni suala la muda tu, natabiri hema lake jipya hapo Kawe (Tanganyika Packers) litakosa waumini, kupwaya na taratibu kugeuka kuwa gofu.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Kanisa ni moja tu katoliki takatifu na la mitume
Unawaza kama mimi yaaniNawaza kwa sauti... kwa mfano hilo hema lingekua ni kiwanda.... nchi ingetengeneza ajira ngapi??
Bora umepewa ban sometimes unaboa kukoment ujinga kila postI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary