Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Mmemlaumu marehemu kwamba atajiongezea muda wa urais mwaka 2025.

Wakati amefariki 2021.

Ndiyo maana nikasema kumlaumu mtu leo kwa makosa atakayofanya mwaka 2025 ni ujinga.

Halafu niliwahi kuhoji, hiyo 2025 mnajuaje atafika?
Hoja ya kujiongeza muda ilikuwepo na ilikuwa inabebwa na wanaCCM wachache ambao walikuwa karibu na mwendazake.

Suala la mwendazake kusema mara kadhaa kuwa hatoongeza hata sekunde moja sio hoja kwa maana hata Kagame aliwahi kukataa kujiongeza muda mara kadhaa tena kwenye media coverage ila baadae akabadilika na kudai kuwa Warwanda wamemlazimisha.

Hilo la kusema kuwa hata wewe uliwahi kuhoji kama mwendazake angefika 2025 sasa hilo ndio Wananchi wengi wapenda Nchi walidhani ndio silaha pekee ya kututoa kwenye hilo jaribio.

Ila amini kabisa suala la kuondoa ukomo lilikuwa kwenye maandalizi kimya kimya.
 
Liendelee kwa mama atawale milele nae si mccm
 
Kiranga anaijua vizuri nchi hii na sarakasi zake. Watu humu JF wamesema mara nyingi kwamba Magufuli ana mpango wa kupageuza Geita kuwa makao makuu ya mkoa. Wakasema atamega wilaya 2/3 toka Mikoa ya Kagera na Geita ili kukamailisha lengo lake lakini CCM maalahi waliomo humu walitaka kupiga watu ngumi. Jana Mzee Samwel Bigambo alipoliibua wakabaki midomo wazi.
 
Umati huu wote uliouona Tanzania wa kumlilia Hayati Rais Magufli bado unaamini kura ziliibiwa? Ile ilikuwa sunami.

Unajua kama ulivyo sema kuwa watu walio mwogopa Hayati Rais Maguduli waki-speculate vitu ambavyo havita tokea, ndivyo hivyo hivyo na wewe umefanya.

Kitendo cha kusema kuwa tatizo ni kuiba kura hilo nalo ni speculation. Huna takwimu na crues ambazo zina support hilo. Ni uongo mtupu. Nanyi mmesutwa na watanzania. Watanzania wamewaonyesha kuwa nyie mmejawa na fantasy ukweli wa mambo hamwuujui.
 
Wabongo hawataki mchezo kile kipacemaker wamekikoroga pulse zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…