Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
Kwanza kabisa, wewe unaelewa kwamba kanuni za kiuchumi zinakataza kuwepo na kitu cha bure?
Unaelewa kwamba unapoambiwa "elimu bure" hapo lazima kuna mtu analipia kwa aina moja au nyingine?
Kwa sababu ni lazima walimu walipwe mishahara, madarasa yajengwe, vitabu vinunukiwe.
Sasa hapo "elimu bure" itatokea wapi?
Unaelewa kwamba watu wanalalamikia michango katika mfumo huo wa "elimu bure"?
Kanuni gani za kiuchumi zinakataza elimu bure? Ndiyo hivyo mlivyo findishwa na hao vibaraka wenu? Naomba nikuulize swali kuhusiana na hilo umesha sikia kitu kinaitwa charity? Ni nini hiyo? Kwanza kwanini unazungumzia uchumi wakati serikali ndiyo inatoa huduma kwa wanchi wake. Serikali ina wajibu wa ku improve maisha ya wananchi. Na kazi mojawapo ambayo serika ya Magufuöi ilifanya iöi kuboresha maisha ya wananchi wake ni kutoa elimu bure.Kwanza kabisa, wewe unaelewa kwamba kanuni za kiuchumi zinakataza kuwepo na kitu cha bure?
Hapo serikali haikufanya shughuli za kiuchumi ili kupata faida bali imetoa Service ya ku boost uchumi kwa kutoa elkmu bure. Vijana wakielimika ndiyo watapata nafasi ya ya kuwa competative na kubuni mbonu mbali mbali za shughuli za kufanya ili kuendeleza maisha ya mtu mmoja mmoja.
Kama unataka kuzungumzia kununi ya uchumi basi hiyo inawahusu wafanya biashara au manufactures wa procts tofauti. Serikali haihusiki.
Ngoja nikupe mfano mdogo ili uelewe. Wajerumami katika kukabiliana na janga la Coronavirus wamewekeza kwenye research institutes zao ili researchers waweze kutafuta njia za kukabiliana na hili janga. Kupitia hizo hela ambazo serikali ya ujerumani zimewa wataalam, wamezitumia kununua Equipment walizo zihitaji kwa ajili ya research na kuweza kupata solution ya vaccine.
Ina maana serikali ya ujerumani ilivunja kanuni za uchumi kwa kuwatengea researchers wao hela za kuendesha research zao ili wapate mafanikio? Ama kweli akili zako zitakuwa matakoni kweli. Sikujua kuwa nina deal na watu wasio jua chochote kuhusu maisha. Ooh my Gudness!
Unaelewa kwamba unapoambiwa "elimu bure" hapo lazima kuna mtu analipia kwa aina moja au nyingine?
Of course serikali inalipia. Si ndiyo wajibu mmoja wapo wa serikali kufanya hivyo? Au hujui hilo?
Wewe hujui kuwa elimu kwenye nchi nyingi za Europe ni bure na ni lazima? Wazazi wasio wapeleka watoto wao shule wanashtakiwa na ikiwezekana kunyang'anywa watoto, unalijua hilo?
Kama elimu isingekuwa bure basi na wazazi wasingelazishwa kuwapeleka watoto wao shule.
Wazazi wa huku kwenye shule za serikali hawalipii majengo wala mishahara ya walimu hilo ni jukumu la serikali. Shuleni kuna mpaka Laptops, computer, free Internet na hata Tabletts Watoto wanapewa bure na hasa kwenye kipindi hiki cha CORONAVIRUS baadhi ya majimbo huku wametoa Tabletts bure kwa watoto ambao wazazi wao hawana uwezo.Kwa sababu ni lazima walimu walipwe mishahara, madarasa yajengwe, vitabu vinunukiwe.
Sasa hapo "elimu bure" itatokea wapi?
Naomba hapa jaribu kutofautisha kati ya private schools na government schools. Kuna wazazi wanapenda watoto wao wasome kwenye private schools, hao inabidi wazazi walipie ada na mahitaji mengine ya mtoto, lakini kwenye government schools haina ulazima. Kama wazazi watataka kuongezea kitu kwenye shule wanaweza fanya hivyo kwa hiari yao na uwezo wao, lakini sio lazima.