Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Wewe kwanza jifunze spelling za "parse" na "derectly" kabla ya kubishana na mimi.

Vinginevyo nitaona una dyslexia au elimu ya ngumbaru.

Habari nzima ya "elimu bure" wakati watu wanalalamikia michango ni ujinga.
[emoji38][emoji38][emoji38]Mpaka unakuja na mambo kama haya naona sasa hoja zimekuishia.
Basi bwana ngoja nimalizane na wewe. Duh! Hiyo ni kasheshe. Sawa nakubaliana na wewe kuwa mimi nina dyslexia. Umefurahi sio?
 
Hoja ukiiona utaijua hii hoja?
 
Ungekua na Exposure usingeandika maneno machafu na yakishenzi namna hii.
Wewe ni mjinga sana wa akili, yaani wewe unitukane mimi alafu mimi nimezee tu? Kisa ni nini? Nimepata exposure? Hiyo sahau. Mimi kwa taarifa yako pia nimekulia uswahilini, tena uswecken ile mbaya kuliko hata wewe pengine. Kwenye Ghetto langu nilikuwa naishi na majambazi na wahuni wa mjini pia. Kwa hiyo tusizenguane.

Kwa hiyo ukiniletea za kuleta na mimi nitakupiga tu na wala siangalii hasara. Kama uswahili wote tunaujua. Kiswahili mbali na kiingeraza na kijerumanu ni lugha ninayo ipenda, kuifurahia na kujivunua pia. Tukiheshimiana nami nitakuheshimu.

Changia hoja na kama huna basi kaa kimya na sio kutukana watu usio wajua.

Sijasema chochote kibaya kwako. Nimekushauri tu kuwa nenda shule elimu bado ni bure, kwani kwa jinsi ulivyo toa argument yako niliona kuwa uko vizuri, lakini hujakomaa kiakili na kimawazo, kwa hiyo bado unahitaji kupanua ubungo wako. Mimi nakupa ushauri wa bure kama kaka au baba yako, wewe unanitukana. Siwezi vumilia kitu kama hicho.
 
Na wewe nikuulize hivi unajua maana ya bure?

Kwenye hiki kinachoitwa elimu bure mimi napenda niite ni elimu bila ada, mimi nimetoka kusomesha awamu ya nne, na ninasomesha awamu hii ya tano

Michango bado ipo mashuleni hasa shule za kata, vifaa vya kujifunzia daftari, vitabu nk kuna sare (shirt, suruali/sketi, t-shirt na viatu)

Tena kuna shule wana sare za aina mbili bila kusahau track suit na raba kwaajili ya michezo, naomba nikuambie mkuu bila laki 1 na kitu kwa mtoto mmoja bado huwezi kumpeleka shule

Kwa mTanzania mnyonge aliekuwa anatetewa achana na hawa vijana machinga hapa namuongelea mkulima kabisa (zaidi ya 65% waTanzania ni wakulima)

Ambae kalima mahindi na mpunga(sitaji mazao ya biashara kama pamba nk kwa sababu yalishajifia)

Anaetegemea kuuza mazao ndo apeleke mtoto shule kwa bei hizi mbovu bado anategemea na yeye ale humo humo
Nitarudi tena. Sijakusahau.
 
Wewe ni mjinga sana wa akili, yaani wewe unitukane mimi alafu mimi nimezee tu? Kisa ni nini? Nimepata exposure? Hiyo sahau. Mimi kwa taarifa yako pia nimekulia uswahilini, tena uswecken ile mbaya kuliko hata wewe pengine. Kwenye Ghetto langu nilikuwa naishi na majambazi na wahuni wa mjini pia. Kwa hiyo tusizenguane.

Kwa hiyo ukiniletea za kuleta na mimi nitakupiga tu na wala siangalii hasara. Kama uswahili wote tunaujua. Kiswahili mbali na kiingeraza na kijerumanu ni lugha ninayo ipenda, kuifurahia na kujivunua pia. Tukiheshimiana nami nitakuheshimu.

Changia hoja na kama huna basi kaa kimya na sio kutukana watu usio wajua.

Sijasema chochote kibaya kwako. Nimekushauri tu kuwa nenda shule elimu bado ni bure, kwani kwa jinsi ulivyo toa argument yako niliona kuwa uko vizuri, lakini hujakomaa kiakili na kimawazo, kwa hiyo bado unahitaji kupanua ubungo wako. Mimi nakupa ushauri wa bure kama kaka au baba yako, wewe unanitukana. Siwezi vumilia kitu kama hicho.

Imbecile
 
Wewe kwanza jifunze spelling za "parse" na "derectly" kabla ya kubishana na mimi.

Vinginevyo nitaona una dyslexia au elimu ya ngumbaru.

Habari nzima ya "elimu bure" wakati watu wanalalamikia michango ni ujinga.
Cha kumsaidia tu huyo ngumbaru hizo shule za sekondari michango inarange kwenye laki tano mpaka saba ndiyo mtoto aweze kwenda shule.

Kuna shule wazazi wanapeleka madawati yao wenyewe ili watoto waweze kusoma au kuchangia pesa shule zitengeneze madawati na michango ya kujenga madarasa kila mwaka
 
Bora umwambie wewe.

Kuna watu wanaendekeza propaganda bila hata kuangalia hali halisi.
 
Back
Top Bottom