Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Mkuu, punguza jazba....siyo nzuri kwa afya yako!
Utabiri siyo hukumu.
Blah blah blah blah blah blah!
Ding dong, dong ding....
UTABIRI siyo HUKUMU.
Ukishasema huyu ataiba, kabla hajaiba, umemhukumu.

Kweli au si kweli?
 
Natabiri ya kuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazua Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.

Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.

Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.

Mungu ibariki Tanzania.
Asante kwa kutupa tahadhari
 
Una matatizo kichwani....mama anaendeleza Yale ya Magufuli...wabadhirifu watendaji wabovu wore watashughulikiwa...hakuna kuoneana aibu...mwisho wa siku mtaanza kulalamika Kama ilivyokuwa kwa Magu..
Huyu ni mkali kuliko Magu...subiri uone...
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tanzania ni nchi nzuri sana, hatuihitaji majambazi na wapumbavu wachache wanaodhani wana haki kuliko wengine kutawala wengine. watajaribu lakini watashindwa...CCM hamna nguvu kama mnavyofikiria nyie ni weupe tuu na siku zenu zinahesabika
 
Back
Top Bottom