Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Mann kila kukicha nikujadili kuongezewa muda?? So tumetoka uchaguzi mwaka Jana tuu!!
tujadili maendeleo tuache ujinga
 
😳😳😳😳unahusika haki ya MUNGU tena????????????????????????????????......???????
Dogo Tulia wewe bado huko ofisini mbele yako ukutani kuna picha ya mama au huko hapo sofani kwa shemeji yako umening'iniza poumbou?!
 
Dogo Tulia wewe bado huko ofisini mbele yako ukutani kuna picha ya mama au huko hapo sofani kwa shemeji yako umening'iniza poumbou?!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚majitu ya humu majinga mweee........bro nshatoka kwenye picha ya mama saa hv natembea na lapel pin ya dove....afu shemeji ndo yupo kwangu...... turudi kwenye mada sikia unahusika wewe ndo muuaji mmoja wa uno😎😎😎.....????????
 
Aaah kumbe?? ndio maama Asante corona.
 
Tabia na mienendo yake ilionesha kuwa anatarajia kwa dhati kubadili katiba.

Hoja hii inakuja baada ya serikali yake kupeleka mswaada wa kuwapa kinga ya kushitakiwa kwa Rais, Spika na Waziri Mkuu na Jaji mkuu.
 
Mkuu unajua unanichekeshaga sana toka ile comment yako ukiniambia nisikariri maisha na ofisini kwako iko picha ya mama. Cheka sana mkuu
 
Mkuu unajua unanichekeshaga sana toka ile comment yako ukiniambia nisikariri maisha na ofisini kwako iko picha ya mama. Cheka sana mkuu
Maisha mafupi bro tufurahi tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....
 
Tabia na mienendo yake ilionesha kuwa anatarajia kwa dhati kubadili katiba.

Hoja hii inakuja baada ya serikali yake kupeleka mswaada wa kuwapa kinga ya kushitakiwa kwa Rais, Spika na Waziri Mkuu na Jaji mkuu.
Sasa mmempachika mtu muhula wa kuongeza wakati hata muhula wa pili hajaumaliza.

Akili hiyo?

Wild speculations from an unanchored paranoia.

Unamhukumu vipi mtu kwa makosa ambayo hajayafanya bado, unamkisia tu atayafanya?

Akifa kabla ya kufanya hayo makosa hujioni mjinga kwa kumpa umuhimu ambao hana kiuhalisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…