Punainen
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,304
- 1,056
Mkuu, siyo kila mtu ana imani na huyo mama.Wanajua kutuchezea akili. Yaani ghafla kila mtu ana imani na Mama, sio CCM, Chadema, ACT au NCCR wote shwari.
Ijulikane mapema Sisi wengine hatuna imani naye.
Tuna kumbukumbu: matamshi yake ya kifedhuli kwenye kampeni za mwaka jana.
Hela iliyopotea walipoachwa peke yao kwenye bunge la katiba (alikuwa makamu mwenyekiti)
Kura za marehemu kwenye bunge lile!
Binafsi sina imani naye. Atende HAKI bila unafiki atushawishi.